Rich Mavoko acha roho mbaya na ukiendeleza hutofanikiwa abadani

Hance, Tunda hajambo?? Mbona siku hizi anavaa neti??
 
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya diamond platnumz licha ya kusainiwa WCB.

Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.

Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Richimavoko na lile liimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.

Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.

Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.

Wewe jamaa jana ulikuja na post ya kibabe sana ya boxing nikakukubali sana..leo unakuja na post ya kihhanithi namna hii?? Kwani vipi au una jinsia mbili? Ya kuingiza na kuingizwa?
 
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya diamond platnumz licha ya kusainiwa WCB.

Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.

Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Richimavoko na lile liimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.

Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.

Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.
Huo ndio unafiki,majitu manafiki yasiopenda wenzao wafanikiwe ndio wana roho kama yako,mnafiki wewe unampiga majungu mavoko alafu utafaidika na nini?
ACHA KUCHUKULIA VITU JUU JUU,WATOTO WA KIUME HAWANA TABIA KAMA ZAKO.
 
Duuh! watu wanafatilia hadi matabasamu ya watu? Kwakweli hili sio povu bali huu ni mchambo
 
Ila una chuki nao tu hao mavoko na lava lava[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka ulimchambaga lava lava sitasahau
 
Rich mavoko yupo wasafi kwa kipaji alichonacho na sio kujikomba komba...kwanza Richard ndo namuelewa sana hao wengine naona kama wapiga kelele tu
 
Plipil usioila inakuwashia nn
Umbea
 
Hivi ukiwa umesainiwa Wasafi Label unakuwa mbia/mwajiriwa wa Wasafi TV/Redio?
 
Back
Top Bottom