Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 278
Km unampenda da mange weka hadharani mkuu sio dhambiWewe ni mchonganishi.
Lakini Da Mange anasemaje kuhusu hili jambo?
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya diamond platnumz licha ya kusainiwa WCB.
Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.
Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Richimavoko na lile liimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.
Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.
Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.
Huo ndio unafiki,majitu manafiki yasiopenda wenzao wafanikiwe ndio wana roho kama yako,mnafiki wewe unampiga majungu mavoko alafu utafaidika na nini?Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya diamond platnumz licha ya kusainiwa WCB.
Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.
Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Richimavoko na lile liimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.
Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.
Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.
ACHA KUCHUKULIA VITU JUU JUU,WATOTO WA KIUME HAWANA TABIA KAMA ZAKO.
Hance, Tunda hajambo?? Mbona siku hizi anavaa neti??
Hahaha mkuu umeuaaaaaaHivi pale WCB uko kitengo gani jikoni au getini?
Maana una uchungu kuliko mond mwenyewe ambaye ndiye mwenye label