cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ni kweli kabisa kaka Rich Mavoko umepwaya kabisa kama tulivyotegemea ungefanya vizuri zaidi kumbe imekuwa kinyume chake.
Tatizo siyo kufanya wimbo na msanii wa Nigeria au popote pale hapana hata kipaji chako kimekufa kaka ni bora ukomae mwenyewe hao jamaa style yao huiwezi kaka nakuambia mapema kabisa.
Mwisho vijana wa WCB wote wako vizuri wewe umekwama wapi brother nadhani ni wakati wakutafakari kabla ya kipaji chako kupotea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nawasikitikia sana vijana mnao mtukuza Mage Kimambi
Mange kasema?Mage Kimambi alisha lisema hilo kuhusiana na kufa kimziki kama Mavoko atajiunga na WCB
Usinipangie nani wa kunishika akili... Punguani WaheediMange kasema?
Mtu mzima kushikiwa akili na kigagula
Da umejua kujibu [emoji23] [emoji23]Mkuu wala usipate taabu.....tunachojua sisi ni umbea, uchonganishi, uongo na kukata watu tamaa.
I think ilikuwa ni mil 50 na sio 500 kama nakumbuka vizuri kuhusu huo mgogoro.Nipe tofauti ya mavoko alivyokuwa ktk lebo ya king kaka ya Kenya ,baada ya kuachana na papa misifa (na kama kweli unamfuatilia mavoko nitajie nyimbo zake mbili alizozitowa akiwa chini ya hiyo lebo ya king kaka na zilifika wapi) na mavoko wa WCB ,ukilijua hilo ndio utajua kama mavoko anapanda au ameshuka muwe wafuatiliaji sio mnaropoka tu na kama hujui mavoko aliachana na papa misifa baada ya jamaa kumbambikia kesi ya kumdai milioni 500 (tafuta mahijiano kati ya soudybrown na papa misifa youtube) na ndio utajua jinsi gani WCB na mondi walivyoamua kubeba msalaba wa mavoko .