Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati ana sign alikuwa amelewaYaani badala ya kwenda mahakamani yeye anaishitakia serikali, chombo chenye mamlaka ya kutoa uamzi ktk mambo ya kisheria ni mahakama tu.
Halafu kwani kipindi anausaini huo mkataba hakuuona kama ni wa kinyonyaji anakuja kuuona leo au akili zake hazikua timamu kipindi anausaini(mwezi mchanga) au umri wa kuingia mikataba ulikua bado kwa hyo mtu alimsainia badala yake leo kakua ndio kagundua mkataba ulikua wa kilaghai.
Nyie wasanii mkome kabisa maana mnawaona wanasheria kama walipoteza muda wao kwenda shule, hapa ungekua na mwanasheria angekushauri kuhusu huo mkataba kabla hujausoma, wanasheria wanatumia technical terms ktk mikataba ambayo mara nyingine layman ni ngumu kugundua unakuja kugundua kumekucha.
Ninauhakika sasahivi umeahauriwa na lawyer na ishakuwa too late boy, pambana tu na hali yako unless you have to prove the opposite.
Basi ulevi wake hatari umekuja kuisha baada ya mwaka, apambane tuwakati ana sign alikuwa amelewa
Kwani alilazimishwa kutia sahihi huo mkataba? Au anatafuta kiki za kumuweka kwenye chat?
Yeye ni mwanaume kama alivyo aliyeanzisha wcb. Apambane nayeye aanzishe label yake
Labda ulikuwa kwenye lugha ya malkia akapita kapaKwani hakusoma huo mkataba kabla ya Kutia sahihi?
Assume clouds media iko myuma ya mavoko,hapo vp?Kama mavoko amechoka kweli basi angeomba kumalizana vizuri tuu na WCB maana ameshajifunga minyororo na mkataba, hawezi kwenda popote, hiyo tume sijui kitu gani haiwezi ikabatilisha mkataba halali ulioingiwa kwa mujibu sheria zetu wenyewe.
Mavoko asipoangalia atalazimika kupambana na WCB mahakamani ataishia kupoteza pesa na muda wake mahakamani kufuatilia kesi, japo kuna wachache watamsifia na kumjaza ujinga ila ajue anaenda kjipoteza, angetafuta njia ya busara zaidi kuondoka WCB , njia ya ugomvi inaweza kutoa sadaka career yake yote.
Na ni kweli ndiyo maana walikuwa wanaplay nyimbo zake redioni kumbe wanamkakati. Sasa watampeleka wapi?Assume clouds media iko myuma ya mavoko,hapo vp?
BADO ATAKAYEUMIA NI YEYE AS AN INDIVIDUAL!Assume clouds media iko myuma ya mavoko,hapo vp?
Hivi mkuu mchezaji wa Simba akivunja mkataba wake na kuhamia yangu,nani ambae hua analipia hio pesa ya kuvunja mkataba?Ni Yanga iliyomnunua au huyo mchezaji?BADO ATAKAYEUMIA NI YEYE AS AN INDIVIDUAL!
ana HELA YA KUWALIPA WCB kwa kuvunja mkataba?
MUULIZE MRISHO NGASSA!Hivi mkuu mchezaji wa Simba akivunja mkataba wake na kuhamia yangu,nani ambae hua analipia hio pesa ya kuvunja mkataba?Ni Yanga iliyomnunua au huyo mchezaji?
Mkuu tujiulize kwanini wkt Rich yuko huko WCB clouds ilikua kama haimuoni vile,ghafla paap nyimbo zake zinapigwa fresh baada ya kutoka WCB?Na ni kweli ndiyo maana walikuwa wanaplay nyimbo zake redioni kumbe wanamkakati. Sasa watampeleka wapi?
NA HAPO UNAZUNGUMZIA TIMU ZA MPIRA!Hivi mkuu mchezaji wa Simba akivunja mkataba wake na kuhamia yangu,nani ambae hua analipia hio pesa ya kuvunja mkataba?Ni Yanga iliyomnunua au huyo mchezaji?