Rich Mavoko aishtaki WCB kwa ‘mkataba wa kinyonyaji’

Rich Mavoko aishtaki WCB kwa ‘mkataba wa kinyonyaji’

Alikuwa amefumba macho wakati anasign huo mkataba hapo mwanzo?
 
Mjomba pumzi ndogo, hawezi mwendo wa bamper to bamber anatafuta watu lawama bure.
 
Kama mavoko amechoka kweli basi angeomba kumalizana vizuri tuu na WCB maana ameshajifunga minyororo na mkataba, hawezi kwenda popote, hiyo tume sijui kitu gani haiwezi ikabatilisha mkataba halali ulioingiwa kwa mujibu sheria zetu wenyewe.

Mavoko asipoangalia atalazimika kupambana na WCB mahakamani ataishia kupoteza pesa na muda wake mahakamani kufuatilia kesi, japo kuna wachache watamsifia na kumjaza ujinga ila ajue anaenda kjipoteza, angetafuta njia ya busara zaidi kuondoka WCB , njia ya ugomvi inaweza kutoa sadaka career yake yote.
Hapo umeandika Poa,
Kwa jinsi ilivyo ni wazi mavoko kashika kwenye makali na WCB wameshika Mpini, wakiendelea kuvutana atakaeumia ni Mavoko.
Cha kufanya ni angewaomba tu aunje mkataba kistaarabu "mutually agreed" bila kuangalia nani atafaidika na nani atapoteza.
 
Ujue hapa ni pande mbili tofauti,Kama angekuwa na meneja basi ndo Ange incur cost za kuvunja mkataba but kwasababu Ni mavoko as individual yeye mwenyewe ndo itambidi atoboke kinoma kama 1 billion ok mng'ato
Sawa mkuu.
 
Naahh;!the guy was not serious at all,tatizo wanampa kichwa eti anauwezo Mkubwa kuliko WCB
Huyu jamaa washabiki wake wameshampoteza,huyu jamaa uwezo wake mdogo ndio maana ameshindwa kutoboa pale. Ndio basi tena.
 
Kazi anayo,Lazma awe teja mwaka huu..
Na mbaya zaidi akumshirikisha hata wakili ko kazi anayo,na Kama asipoomba pooo,kwa WBC inakula kwake kwa maana wakiamua kukaza mkataba unaweza kuuvunja hata kwa Trillion daaaaaaah so sad mavoko.
 
Huyu jamaa washabiki wake wameshampoteza,huyu jamaa uwezo wake mdogo ndio maana ameshindwa kutoboa pale. Ndio basi tena.
Kabisa kwa utunzi jamaa hawawezi walioko WCB ameona ni stress tupu kule maana ukifika wakati wake wa kutoa hit songs hana
Bora atokeee awe huru.
 
Kabisa kwa utunzi jamaa hawawezi walioko WCB ameona ni stress tupu kule maana ukifika wakati wake wa kutoa hit songs hana
Bora atokeee awe huru.
Mavoko hajui kuandika? Sio mtunzi mzuri?

Hufuatilii hii game wewe!

Mavoko fundi sana wa kuandika aisee.. Ana utamu wake flani hivi kwenye maandishi na kuimba hata kabla hajajiunga na Wasafi..

Chukua mifano hii;


1. Ile siku Diamond anamsajili Mavoko alisema katika vitu vinavyomvutia kwake ni uwezo wa kuandika.

2. Diamond ashawahi kunukuliwa akisema kipaji na uwezo wa kutunga mashairi ndiyo kigezo nambari one cha msanii kusajiliwa WCB.

3. Kwenye hii album ya Diamond kuna wimbo unaitwa Sijaona ameutunga Mavoko.

Sema lingine aisee!
 
Back
Top Bottom