THT ni nini boss?Iko chini ya Nani?Ana mahusiano gani na CMG?NA HAPO UNAZUNGUMZIA TIMU ZA MPIRA!
CLOUDS NI LEBO YA MUZIKI?
Tunachojua anayevunja mkataba ndiyo anayelipa. Kwenye mpira mchezaji ambaye mkataba wake bado unaendelea timu husika inamuuza kwa timu nyingine kwa muda huo uliobaki.THT ni nini boss?Iko chini ya Nani?Ana mahusiano gani na CMG?
Kama akipelekwa THT sawa lakini alipe tu pesa huko atakovunja mkataba (kama tu atavunja)THT ni nini boss?Iko chini ya Nani?Ana mahusiano gani na CMG?
mkuu lini wamepiga nyimbo za rich mavoko?Mkuu tujiulize kwanini wkt Rich yuko huko WCB clouds ilikua kama haimuoni vile,ghafla paap nyimbo zake zinapigwa fresh baada ya kutoka WCB?
Nadhani next project ya Ruge ni kumrudisha bwn mdogo kwny chat,uzuri akitulia kipaji Rich anacho.
Inabidi Diamond akamatwe kwa utapeli. Ndio maana Mavoko amekonda sana kwasababu anakosa hata hela ya kula hela zote Diamond anajirusha na wakina Mobetu
Mavoko anatafuta Kiki tu WBC,na asipojiangalia ndo anajimaliza kimziki hivyo..aaaaaaah yajayo yanafurahisha yangu macho.
Ngoja namm nipitie mkataba niliosaini na demu wangu
well saidYaani badala ya kwenda mahakamani yeye anaishitakia serikali, chombo chenye mamlaka ya kutoa uamzi ktk mambo ya kisheria ni mahakama tu.
Halafu kwani kipindi anausaini huo mkataba hakuuona kama ni wa kinyonyaji anakuja kuuona leo au akili zake hazikua timamu kipindi anausaini(mwezi mchanga) au umri wa kuingia mikataba ulikua bado kwa hyo mtu alimsainia badala yake leo kakua ndio kagundua mkataba ulikua wa kilaghai.
Nyie wasanii mkome kabisa maana mnawaona wanasheria kama walipoteza muda wao kwenda shule, hapa ungekua na mwanasheria angekushauri kuhusu huo mkataba kabla hujausoma, wanasheria wanatumia technical terms ktk mikataba ambayo mara nyingine layman ni ngumu kugundua unakuja kugundua kumekucha.
Ninauhakika sasahivi umeahauriwa na lawyer na ishakuwa too late boy, pambana tu na hali yako unless you have to prove the opposite.
Inabidi wakati wanapeleka hiyo mikataba ya kinyonyaji atoe tafsiri kwa wanamuziki maana ya MKATABA na awaulize kama walishikwa nguvu kusaini mkatabaRich Mavoko ameleta mkataba wake na WCB na tutaupeleka kwenye kamati ya iliyoundwa na Waziri Mwakyembe ya kuangalia mikataba ambayo ni yakinyonyaji kwa wasanii" Katibu Mtendaji BASATA
dah!THT ni nini boss?Iko chini ya Nani?Ana mahusiano gani na CMG?
KUNA MTU ANASEMA ATALIPIWA NA CLOUDS KWA KUWA CMG wana LEBO YA MUSIC INAITWA THT!Mavoko na wanaompa kichwa wasipocheza hii muvi kwa akili itakula kwao,,bora WCB wangekuwa wanavunja wao mkataba,ila sasahivi yeye mwenyewe anauvunja na aliusaini akiwa na akili timamu tena mbele ya basata wenyewe,,namwonea huruma sana mavoko,,kuvunja mkataba ulio halali kisheria na mlikubaliana nikazi ngumu na yenye gharama za kutosha tu na itamgharimu sana ,atapata stress pia akicheza hovyo,Kama mnakumbuka Diamond alivyovunja mkatabata na Aljaazilla Entertainment chini ya meneja Papa misifa alivyopata tabu sana enzi hizo(2011 au 2010)alidaiwa mil 500 ila kafanyiwa fair tu akalipa Mil 100 japo kwa awamu,sasa najaribu kumfikiria ndugu yangu hapa mavoko anavyotaka kuvunja mkataba wa miaka 10 kizembezembe tu,,think big mavoko,wanaokupa kichwa watakucost sana,wewe si umekimbilia BASATA?wenzio wataenda mahakamani kwenye sheria na wataku sue kesi inavyoendelea hautakuwa ukifanya kazi za mziki tena zaidi ya kurekodi tena kwa siri maana wewe bado unamkataba hai so haitaruhusiwa kupanda jukwaa lolote la burudani unless kesi iwe imeisha..Utapata tabu saana dogo..Fikiria upya maamuzi yako,kheri ukaenda mkayamaliza kishikaji tu,kibinadamu maana wote mnatafuta mkate wa kila siku ili wakuachie salama na kwa amani..
Mobetu ndo nani kamandaInabidi Diamond akamatwe kwa utapeli. Ndio maana Mavoko amekonda sana kwasababu anakosa hata hela ya kula hela zote Diamond anajirusha na wakina Mobetu
Akamatwe kwa kosa lipi,wakati mkataba unajieleza wazi na afu isitoshe akulazimishwa kusign mkataba na kimantinki diamond platinumz anakosa lolote like,yeye rich mavoko apambane na hali yake na ndo kashapotea hivyo na atapata tabu Sana mwaka huuInabidi Diamond akamatwe kwa utapeli. Ndio maana Mavoko amekonda sana kwasababu anakosa hata hela ya kula hela zote Diamond anajirusha na wakina Mobetu
Ujue hapa ni pande mbili tofauti,Kama angekuwa na meneja basi ndo Ange incur cost za kuvunja mkataba but kwasababu Ni mavoko as individual yeye mwenyewe ndo itambidi atoboke kinoma kama 1 billion ok mng'atoHivi mkuu mchezaji wa Simba akivunja mkataba wake na kuhamia yangu,nani ambae hua analipia hio pesa ya kuvunja mkataba?Ni Yanga iliyomnunua au huyo mchezaji?