Rich Mavoko ammwaga mzazi mwenzie

angelita

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
3,017
Reaction score
2,432
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.

Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.

Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.
 
kuna thread niliiona hapa inasema mwanaume asiye na pesa hapaswi kuvumiliwa
lakini nilikuwa napenda kupata hiyo picha ya huyo mwanamke nikimtazama kijana mavoko anaheshima sana ila sio tatizo kama huduma zote mavoko anatoa kwa mke wake
kutokana na kazi aliyonayo mavoko kundi lake watakuwa wamemshawishi atafute dem mkali ili apate kiki
ila mama mtoto vumilia najua mavoko hatokosa pesa ya kukutunza
 
 
Mwambie Pole.. Ila asijali.. Mungu ni wa wote.. Anampa anaetaka yeye na Asipompa mtu ni kwamba anakua nasababu zake.. so mwambie asivunjike moyo.. Amuombee tu Kwa Mungu.
 
Saa ingine hujui chanzo nini mnaanza kuhukumu kwa hisia!au mnadhani huyo mdada haezi kumuacha mavoko sababu celeb?!
 
single mother wanaongezeka kwa kasi saana!

huyu ngoja na mimi nimtafute nifanye yangu! wakuu msaada tutani nampataje huyu
 
Limeshaandaliwa shuga mami laku mbemenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…