angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,432
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.
Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.
Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.