We mbona umerukia kwenye kujumuisha tuu [emoji1]Wanaume hawa pole yake uyo mdada akazane tu kumlea mtoto uyo mavoko atafunzwa na ulimwengu
single mother wanaongezeka kwa kasi saana!
huyu ngoja na mimi nimtafute nifanye yangu! wakuu msaada tutani nampataje huyu
hamna ata haja ya story kamili uyo mavoko ndo kazingua siku zote wanaume ndo wanaanza uyo dada atajuta mavoko kuamia wasafi bola wangeendelea tu kukaa kwenye chumba chao kimojaWe mbona umerukia kwenye kumuisha tuu [emoji1]
Hatuja pata stori kamili tujue kilicho tokea ni nn
Duh!kumbe fay ni mbaya?
Mpe pole Fay namfaham ana salun pale Bima na alijifungua mwaka huu ila huyo Mavoko atakuwa amekutana na watoto wazuri huko WCB
ata me nahitaji kumkujua huto fayTupia basi picha ya fay!!
Si maneno makavu!
ni mzuri tu huyu mwanamke ila kuna watu wanafukunyua humu yani wanajua kuw jamaa alikuwa anakaa chumba kimoja shikamoo jf
Peter nyie ndio kila cku mnawasema masingle mama umeona chanzo cha hayo matatizo wasababishaji ni akina nani? Sasa mavoko anamuacha ataolewa na nani na nyinyi kutwa kulalamika kuwa hamuwataki wanawake waliozaaChanzo unakijua au unalaumu tu, kama ni mtoto kwani kasema hamlei.. BTW kutoka mbali na mtu sio tiketi ya kutokuachana
Kama ni kweli mbaya sanaInasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.
Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.
Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.
Nauliza hivi unajua chanzo cha kuachana kwaoPeter nyie ndio kila cku mnawasema masingle mama umeona chanzo cha hayo matatizo wasababishaji ni akina nani? Sasa mavoko anamuacha ataolewa na nani na nyinyi kutwa kulalamika kuwa hamuwataki wanawake waliozaa
Inaitwa pata pesa tujue tabia yako na kosa pesa ujue uvumilivu wakekuna thread niliiona hapa inasema mwanaume asiye na pesa hapaswi kuvumiliwa
lakini nilikuwa napenda kupata hiyo picha ya huyo mwanamke nikimtazama kijana mavoko anaheshima sana ila sio tatizo kama huduma zote mavoko anatoa kwa mke wake
kutokana na kazi aliyonayo mavoko kundi lake watakuwa wamemshawishi atafute dem mkali ili apate kiki
ila mama mtoto vumilia najua mavoko hatokosa pesa ya kukutunza
Umetisha asha boko tenaVijana wa WCB walivo, sahivi rich nae atatafuta jimama..... Nadhani ataenda kwa ASHA BOKO
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.
Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.
Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.