Rich Mavoko ammwaga mzazi mwenzie

Rich Mavoko ammwaga mzazi mwenzie

1977416_816482978391474_3724788443506466378_n.jpg
 
We mbona umerukia kwenye kumuisha tuu [emoji1]
Hatuja pata stori kamili tujue kilicho tokea ni nn
hamna ata haja ya story kamili uyo mavoko ndo kazingua siku zote wanaume ndo wanaanza uyo dada atajuta mavoko kuamia wasafi bola wangeendelea tu kukaa kwenye chumba chao kimoja
 
Kwahiyo ulikuwa unatakaje,,,,je una uhakika gani kama huyo mtoto ni wa mavoko???

Acha kuingilia mahusiano ya watu,,,fata mambo yako
 
Wanawake watazaa kwauchungu na wanaume watakula kwa jasho,acha mama mtoto ale uchungu na baba amwage jasho
 
Chanzo unakijua au unalaumu tu, kama ni mtoto kwani kasema hamlei.. BTW kutoka mbali na mtu sio tiketi ya kutokuachana
Peter nyie ndio kila cku mnawasema masingle mama umeona chanzo cha hayo matatizo wasababishaji ni akina nani? Sasa mavoko anamuacha ataolewa na nani na nyinyi kutwa kulalamika kuwa hamuwataki wanawake waliozaa
 
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.

Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.

Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.
Kama ni kweli mbaya sana
 
Peter nyie ndio kila cku mnawasema masingle mama umeona chanzo cha hayo matatizo wasababishaji ni akina nani? Sasa mavoko anamuacha ataolewa na nani na nyinyi kutwa kulalamika kuwa hamuwataki wanawake waliozaa
Nauliza hivi unajua chanzo cha kuachana kwao
 
kuna thread niliiona hapa inasema mwanaume asiye na pesa hapaswi kuvumiliwa
lakini nilikuwa napenda kupata hiyo picha ya huyo mwanamke nikimtazama kijana mavoko anaheshima sana ila sio tatizo kama huduma zote mavoko anatoa kwa mke wake
kutokana na kazi aliyonayo mavoko kundi lake watakuwa wamemshawishi atafute dem mkali ili apate kiki
ila mama mtoto vumilia najua mavoko hatokosa pesa ya kukutunza
Inaitwa pata pesa tujue tabia yako na kosa pesa ujue uvumilivu wake
 
Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga.

Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana.

Ni mambo yakusikitisha sana na yakuumiza, mbaya zaidi amemwacha mwenzie wakati ana mtoto mdogo.

Aisee huyu jamaa nakaa naye hapa,

Awali nilikuwa nikibisha kuwa ndiye Mavoko, anawatoto wawili, mkewe anafanyia Saloon. Anaishi maisha ya kawaida sana, awali nilikataa kabisaa kuwa huyu ni Mavoko lakini kwa maelezo yako sina budi kukubaliana nawe.

Masuala ya Mapenzi yaache kama yalivyo ndugu, ndiomaana wahenga walisema, pata Mali, Cheo au Umaarufu tujue tabia yako. Mpe pole huyo aliyekuwa mzazi mwenzie, ila sisi hapa tunamjua huyu dada anayeishi sasa. Huyu mama ni fight sana, anakabinti kamoja anaishi nako hapa... Anakapigisha kazi kama Katumwa vile. huwa nakaonea huruma sana

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom