weweeeeeeeeee mi sipangiwi cha kufanya na BUNDLE LANGU upo hapo? As long as najinunulia bundle naandika nachotaka. Wewe kuniona biased haimaanishi niko biased.ahahaha,we lara1 watu wanasema wanakupendea story zako,so dondosha story,kama huna kausha maana sio kwa pumba hzi,inaonesha conflict of interest inakuzid uwezo kabisa,uko biased hata kipofu anakushinda kuona,sema anyway sio mbaya maana hzi ni kampeni za u-team tuu tena ulishajua kuwa umeandika mading'a ukatukana in advance .yani haya maushabiki mandazi ndo yanaoulemaza huu muziki.
Una uhakika? Biashara gani? Ya WCB? Hahahaaa! Usinisikitishe. Kwa hizi nyimbo BIG G wanazotoa au? IT IS SUCH A PITY AND SHAME MTU ALIETOA HIT KAMA MARRY ME KUKAA LABEL MOJA NA YULE TALENTLESS BOY WHATEVER HIS NAME IS. Kwambaliiiiiiiiiiii Baby Harmonise (Baada ya kuomba msamaha, uungwana ni vitendo nimemaliza tofauti nae na kurudi kuwa my favourite WCB member. Team Harmonise baby)Biashara haingalii uliyoyaandika.
ahahahaha,haya bhana.igweeeeWe
weweeeeeeeeee mi sipangiwi cha kufanya na BUNDLE LANGU upo hapo? As long as najinunulia bundle naandika nachotaka. Wewe kuniona biased haimaanishi niko biased.
NB: MI SINA TEAM! (Juzi tu si mimi ndo nilitoka kumsifia Dai.
Dimond sikumshindwa, nilimnyoosha USHAMUONA KWENYE BANGO LOLOTE LA VODA? Embu pitia tena PRESS RELEASE MKATABA WAKE UNAISHA LINI NA LEO NI LINI? INTERNENT NEVER FORGETS.
Mabango si ilikuja ofa nyingne kipi usichoelewa hapo...hata hii ofa iliopo saiv inaisha na itakuja nyngine...ulisema utahakikisha kampuni zinatosa udhamini na kuvunja mikataba..ukasema wasipovunja utaipeleka kimataifa hahahaha...umehamia kwa mavocco...Dimond sikumshindwa, nilimnyoosha USHAMUONA KWENYE BANGO LOLOTE LA VODA? Embu pitia tena PRESS RELEASE MKATABA WAKE UNAISHA LINI NA LEO NI LINI? INTERNENT NEVER FORGETS.
Ndo maana nimekwambia REVIEW PRESS RELEASE YA VODA YALE MABANGO WALISEMA YATAKAA MDA GANI? AFU YALITOKA LINI? MBONA HESABU NDOGO TU HIO. NA UZURI WA VIDEO AU MAANDISHI HUWEZI KU EDIT. Shukuru wenye jamvi lao wananitia jamba jamba ooh voda sponsor humu, achana nae. Nyokolostiiiiiiiiiii.Mabango si ilikuja ofa nyingne kipi usichoelewa hapo...hata hii ofa iliopo saiv inaisha na itakuja nyngine...ulisema utahakikisha kampuni zinatosa udhamini na kuvunja mikataba..ukasema wasipovunja utaipeleka kimataifa hahahaha...umehamia kwa mavocco...
1. Haujawahi kuwa na mashindano na Dee coz hata hafahamu kama kuna kiumbe kinajiita Lara duniani.. So huwezi kumnyooshaDimond sikumshindwa, nilimnyoosha USHAMUONA KWENYE BANGO LOLOTE LA VODA? Embu pitia tena PRESS RELEASE MKATABA WAKE UNAISHA LINI NA LEO NI LINI? INTERNENT NEVER FORGETS.
Nataka nikumanage wa sababu naona sasa uwezo wako wa kufikiria na kujimanage umepotea.
Najua unakumbuka sana hiyo Marry me maana kipindi hicho ndo ulikuwa unawadanganyia vijana wadogo ili uwe sugar mummy kwao. Sasa huna swagga inabidi eti uwaambie kasikilize Marry me.
Mavoko kakuliza maana hawezi kutoa nyimbo kwa ajili ya maajuza ka wewe.
Sijawai kua shabik wa dem yoyote yule wa mond...sio wema sio jokate sio zari...ila ukwel ni kua katika yote unayosema kwa diamond hakuna ata moja litafanikiwa ni mpk mungu aseme Hapa ndio na sio wanadam...kuhusu mavocco inshu ni moja tu...mziki ni biashara hukiona aukulipi chagua njia nyingne usipokulipa acha kabisa tafuta inshu nyngine ufanye...tumia akili kidogo utanielewaNdo maana nimekwambia REVIEW PRESS RELEASE YA VODA YALE MABANGO WALISEMA YATAKAA MDA GANI? AFU YALITOKA LINI? MBONA HESABU NDOGO TU HIO. NA UZURI WA VIDEO AU MAANDISHI HUWEZI KU EDIT. Shukuru wenye jamvi lao wananitia jamba jamba ooh voda sponsor humu, achana nae. Nyokolostiiiiiiiiiii.
ILA TOMATO ZA WAHINDI NDO LEVEL ZENU KABISAAA HUONI SIJAINGILIA. NASHAAANGA PORN STAR HAMJA MPA SHAVU KWENYE TOMATO. HAHAAAAA!
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!111. Haujawahi kuwa na mashindano na Dee coz hata hafahamu kama kuna kiumbe kinajiita Lara duniani.. So huwezi kumnyoosha
2. Acha pumba za kujitutumua sijui mabango sijui nini, hujui lolote kuhusu mkataba wa Dee na Vodacom Tanzania.. Hujui not evena a glimpse of it!! So acha kujitekenya na kucheka mwenyewe kama jendaheka..
3. Huwa unajitapa wewe ni expert wa marketing, lakini unaonekana sufuri kabisa!! WCB wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kujibrand na kuteka mashabiki na wanafanya good marketing job ya wasanii wao.. Ndio maana kila wanachogusa turns into gold!! Harmonise, Raymond wana nyimbo mbilimbili lakini wana shows kila weekend na wanajaza ukumbi..
Mwisho, Rich anajua anachokitaka na amekataa kuendekeza ushauri wa kipuuzi eti bora tu afe kijerumani, bullsh*t!! Rich anapenda mziki na anataka mafanikio na anajua atayapata hayo mafanikio akiaa na watu wanaojielewa na wenye malengo makubwa!!
Rich, karibu WCB... Let's take this continent by storm!!
WCB baby..
Kama unakumbuka kile kinyuzi chako ukaongea maneno kibao alafu baada ya siku kadhaa ukarudi kujitapa Voda wamekusikiliza na mkataba unasitishwa nikakwambia huo ni upuuzi Voda hawawezi kuacha strategy zao kwa kumuogopa lara!! Na nikakwambia subiri kidogo tu utaona event nyingine ya Dee na Voda na haikupita wiki tatu Dee ndio front person kuitangaza voda 4G plus tamasha la UDOM n.k so bibie hebu acha kuongea upuuzi.. Dee na Voda wala hata hawajui kama una exist sembuse hivyo vithread vyako..HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!11
1. Sijawahi sema nashindana na Dai au nina hata kiwazo hiko coz kwanza sauti yangu ya churaaa, nikiimba vioo vinapasuka. NA SIHITAJI DAI ANIJUE, ANISAIDIE NINI KWANZA? ANAOWAJUA ZAIDI YA KUWATUKANA NA LEBEL YAKE KAWAPA NINI MSWAZI WA TANDALE YULE! HAHAHAAAA! Yani katika list ya watu ninaopenda wanijue Dai hayumooo kabisaaaaa.
2.Mkataba kweli siujui ILA PRESS RELEASE IS A PUBLIC DOCUMENT ILIPOSTIWA NA BLOGGERS KIBAO AS A PR GURU NILI IREVIEW LINE BY LINE. AND I MUST AMIT IT WAS DETAILED.
3.HAHAHAAAAAAAAAAAA! I GUESS THIS MAKES YOU THE EXPERT IN MARKETING THEN!!!!!!!!!!! Kwa hio mifano i rest my case. naomba PR Gurus wenzangu mseme nyie labda mtaeleweka.
RICH MAVOKO AMEBUGI BIG TIME! Him signing WCB ni sawa na R KELLY KWENDA KUSIGN KWA USHER RAYMOND. HAHAHAAAAAAAAAA! Mtoto wa mama Richardddd! iT IS BETTER UNGESTAAFU MUZIKI NA HESHIMA YAKO UKAHESABIWA VETERAN.
WCB ARE WANNA BE'S WHO WILL NEVER FORM A DON JAZZY AND MARVINS. Niko hapa nikiwaangalia mkijamba jambaaaa. Sababu ni team Haarmo huo wimbo na Katapult boy sitotia neno sababu ni Marvin damu damu na Harmo namuelewa ila huo wa Rich naungoja kwa hamu.
Naanza kuelewa kwa nini ulitaka dili la Diamond na vodacom liingie mchanga. Mavocal kusaini WCB ni hatua nzuri kwake mpongeze usimrudshe nyuma. Jarbu kufuatilia labels kubwa za music duniani utagundua wasanii wanaangalia soko sio blah blah.
Mavocal kapiga hatua muache aende WCB soko lipo.. Ukumbuke hata Rick Ross aliwahi kua chini ya Akon... Relax madame. [emoji6]