Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11
Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia invitation uje usome.
BACK TO TOPIC!
Hahahaaa Rich Mavokoooooooooo, rich weweeeeee mzeee wa MARRY ME, nikupeleke kwa Mama Richard kweli wa kukaa lebel moja na watoto wa jana kina Harmo ushuziii (Dogo nilikuwa namkubali huyuu ila alivonitokaaa kama mshipi.) na yule dogo Talentless kabisaa hata jina simjui. Hata wimbo wake mmoja siujui. KWELIIIIIIIIIIIIIIIII! Gerra out of here!
Rich ulikuwa unapambanishwa na Dimond enzi hizo na unampeleka peleka ipasavyo, namna gani mtoto wa mama Richard? Namna gani. Kabisaaaaaa umesign WCB. Duuu aiseeeeeeeeeee! Bora ungekufa na tai shingoni kama Blue Byser, Shetta Shettani, na Baraka Da Prince usiwe na management uwe tu huru.
Au bora ungeenda kusign kwa Petit man, mara laki tano maana yule meneja tu na sio msaniii kama domo. Tseeee tseeeee tseeeee RICHHHHHHH!!!!!!! MAVOKALIIIIIIII???????? Heeeeeeeeeeeeyyyyy Chinekeeeeeeeeeeeeeee! Mara 100 ungeenda kusign kwa Bob Junior. Umeona Ali Kiba alilost kabisaaaa kwa lile jibibi kijana ila kajizoaaa zoaaa si huyo karudiiii.
Anyway, Rich wewe ni wangu, mi nangoja hio 2 nd June nikuonee, nione na huko WCB huenda uka surpass my expectation which to be honest i dont have any. Sijuiiiiiiiiiiiiii kwa kweli. Nisiongee sana maana heshma kidogo niliobakiza kwako ni ya kazi zako za nyuma, mkubwa ulieleweka sanaa enzi hizo, wacha ningoje hio 2nd June.
Afu WCB mbona kama MMEPANIC HIV? Kila siku wimbooo, kila siku wimbooo. Huyo dogo talentless huo wimbo mlioachia juzi hata sijausikiza nasikia mnatoa tena wa Mavoko, mzazi mavoko sababi alisomeka kitambo hiko nitausikiliza, sijakaa vizuri nasikia Mzee wa Katapult kijana wa The Don himself, Don Jazzy, Koredo Bello sijui nimepatia maana kiukweli sijawahi kumuelwa mara mia angefanya collabo na baba Gigy Money Alihaji Techno, Nasikia Harmo ushuzi ndo anaachia nae kigoma, Hahahaaa! Na Paka wa kufugwa kaenda kufanya wimbo na vizee vilivochuja Psquare. Hahahaaaaa!
Niko hapa kutoa review zangu ila so far AJE umeleta noma sanaa huko WCB.