Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani ana muda mchafu wa kuchukua credit ? HAHAHAAAAAAAAA! tuzo kuja airport ni ndoto za abunuwasi. WE ALL KNOW HE WONT WIN THAT EASILY.Mnajiandaa kuchukua credit siku tuzo ikitua pale airport kuwa na nyinyi mlipiga kura!! Vizuri lakini maana angalau mmejifunza kutokana na makosa maana mwakajana mliaibika sana, mmehamasishana weeeee lakini 'ndoo' ikaja home.. Hahahahah
Mimi nilitamani sana muendelee kuhamasishana ili tuwaabishe tena mwaka huu.. Unajua its kinda fun proving doubters wrong!!
#hatushindwi
kwani anaenda kusimamiwa na chibu au anaenda kusimamiwa na kina salam ili awe kama chibu?
Yaani kwa mimi mkulima ni sawa sawa nakuniambia NIENDELEE KULIMA PEKE ANGU shamba la ekari zaid ya 1000 nisilo na uwezo nalo Kulilima lote wakati kuna kuna uwezakano wa kuungana na wenzangu tukalilima wote kwa pamoja na kuongeza kipato zaidi.
Hivi ina maaana dhana ya kuwa na partners kwenye biashara, mikopo, vikoba na vyote vifananavyo kwako si kiitu??
Ulitaka akajiunge nani sasa uko? MRISHO MPOTO?????
Weweeeeeeeeee mimi sina mtoto ujue, Harmonise alivo tutukana wagumba uliona jojo sanaaa eeeh? Mimi yale matusi yake yalinuma sanaa kama mwanamke nikasema sio kesi kama ana management nzimaaa na hajaomba msamaha BAAAAAAAAAAS. Uzuri for ONCE Salam kampa ushauri sahihi, na wanawake wagumba Tz tumemsamehe na tumeyaweka pembeni.
Uuuuwi! Wala usimsifie masta, masta kapaukaaa, masta kafuliaaaaa, masta anaemuwekaga kwenye ramani ya wachambaji ni DIAMOND NA ZARI baaaaaasi, sasa now days amejikuta hana vichambo vipya against this pple ndio maana kapotea kama sh.ya mkoloni kule insta, ila MANGE SAWA, huyo ukimuita fundi hata me nampa credit zangu coz kila atakae amua kumchamba anachambika, lakini dougie pyeeeeeee! Tupa kuleeeee! Kuchamba amchambe DIAMOND AU ZARI ndio uwaza wake wa kujidai, na asipompost dai au zari wanafuasi wanamsaliti yuda rudisha nyuma, juzi alinichekesha anawaambia wafuasi wake ni lazima wacomment kwenye post zake, baada ya kuona post za wem a sijui kiss zinaishia comment 5-15, mpaka nilimuonea huruma kwa kweli.
HAHAHAAA! Msema kweli mpenzi wa Mungu, mimi I RESPECT DIMOND FOR HIS WORK 100% NISHAMUANDIKIA MAKALA YA KUTOSHAA ILIYOSHIBA ACKNOWLEDGING HIS CONTRIBUTION KWENYE TZ MUSIC, NA NILIKUBALI WAZIWAZI HE IS THE GAME CHANGER WA TZ MUSIC INDUSTRY BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH NIKAMPA UFAGIO NA SHAVU LA KUTOSHAA HUMOO just at the right time wakati Aje imekuwa released. The time most of you hamkuwa na courage ya kusema ukweli kutokana na dude la Aje lilivotusambaratisha chezea sawasawa mambo vipi?.
On the other side MIMI DIMOND SIMUOGOPIIII, WALA HANITISHIIII HATAAAA, vipande vyake nampa kama kawaidaaa. Kama navompa Kiba, Jidee na wengine. NCHI HURU HIII TUSIBANANE.
NA KWENYE UZI HUU NASEMA HIVI RICH MAVOKO KABUGI KU SIGN WCB APUNGUZE KUENDEKEZA NJAA MATOKEO YAKE MTU MZIMA MWENZETU WA ANAJIAIBISHAAA KUKAA LABEL MOJA NA THAT TALENTLESS KID. HAHAHAAA.
FYI I VOTED FOR HIM ON BET. Harmonise alivonikeraaa nikaanza UTU MWANAMKE KUMVOTE YEMMY ALADE TUZO ZOZOTE ALIZOKUWA NOMINATED. MAADAM KAOMBA RADHI NA UUNGWANA NI VITENDO NITAENDELEA KUMVOTE DIMOND TUZO IJE BONGO. TUKO PAMOJA KWENYE MAMBO YA MSINGI KAMA HAYO NA VICHAMBO KAMA KAWAIDA. AHAHAAAA.
And all u wish for ni kumuona diamondHAHAHAAA! Msema kweli mpenzi wa Mungu, mimi I RESPECT DIMOND FOR HIS WORK 100% NISHAMUANDIKIA MAKALA YA KUTOSHAA ILIYOSHIBA ACKNOWLEDGING HIS CONTRIBUTION KWENYE TZ MUSIC, NA NILIKUBALI WAZIWAZI HE IS THE GAME CHANGER WA TZ MUSIC INDUSTRY BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH NIKAMPA UFAGIO NA SHAVU LA KUTOSHAA HUMOO just at the right time wakati Aje imekuwa released. The time most of you hamkuwa na courage ya kusema ukweli kutokana na dude la Aje lilivotusambaratisha chezea sawasawa mambo vipi?.
On the other side MIMI DIMOND SIMUOGOPIIII, WALA HANITISHIIII HATAAAA, vipande vyake nampa kama kawaidaaa. Kama navompa Kiba, Jidee na wengine. NCHI HURU HIII TUSIBANANE.
NA KWENYE UZI HUU NASEMA HIVI RICH MAVOKO KABUGI KU SIGN WCB APUNGUZE KUENDEKEZA NJAA MATOKEO YAKE MTU MZIMA MWENZETU WA ANAJIAIBISHAAA KUKAA LABEL MOJA NA THAT TALENTLESS KID. HAHAHAAA.
FYI I VOTED FOR HIM ON BET. Harmonise alivonikeraaa nikaanza UTU MWANAMKE KUMVOTE YEMMY ALADE TUZO ZOZOTE ALIZOKUWA NOMINATED. MAADAM KAOMBA RADHI NA UUNGWANA NI VITENDO NITAENDELEA KUMVOTE DIMOND TUZO IJE BONGO. TUKO PAMOJA KWENYE MAMBO YA MSINGI KAMA HAYO NA VICHAMBO KAMA KAWAIDA. AHAHAAAA.
aya ameshaomba msamaha sasa. yani kosa la mmoja unawachukia wote. ndo maana maugomvi ya ma team hayaishi. eti ukiwa team diamond usimsupport kiba kisa wana bifu. au ukiwa team wema usimsupport chibu kisa wana bifu. huo ndio utoto sasa wa kumchukia mtu kisa fulani. km harmonise kakuudhi c umkasirikie yeye. ingekua ni hivyo mitaani pasingekalika yarabi. kwel Elimu Elimu Elimu.
Lara no doupt u have been paid for this, huwezi muendea diamond gym kumtunishia misuli hivi for nothing, NO WAY, lakini kama unafanya haya kwa mapenzi yako best, daaah! POLE sana maana unatumia nguvu nyingi mnooooo, alafu ndio hivyo work done = 0
Tuanze na ishu ya VODA Lara utawadanganya hao hao wafuasi wako kuwa umewin, ukweli ni kwamba kelele zako hazikutofautiana na za chura na ng'ombe, KUONDOLEWA KWA MABANGO YA ONGEA DAILY YA DAI, NI BAADA YA VODA KUDUNDUA OFFER YAO ILE ILIBUMA, KWA KIFUPI ILIWAPA HASARA KUBWA TOFAUTI NA MATARAJIO, KIBIASHARA WASINGEWEZA ETI KUENDELEA NA OFFER INAYOLETA HASARA KISA TU ETI KUSWALLOW MKATABA, WALICHOFANYA NI KUBADILI OFFER FASTA ILI KIRESCUE wasijeendelea na hasara ndio maana wakaintroduce hii ya DABO BANDO, LAKINI MKATABA WA DAI UPO PALE PALE UNTOUCHED the thing is (ILIKUWA NI LAZIMA WAONDOE MABANGO YA DAI YA ONGEA DAILY ILI WAPANDISHE YA DABO BANDO) UPOOOO! sasa kumbe ulitaka wapandishe mabango ya offer mpya ilihali ya offer ya zamani bado yapo? NINGEKUONA MWANAUME AU MWANAMKE KWELI WHOEVER U R KAMA.......!!!! WANGEMFUTIA MKATABA WAKE like TOTALLY, but so far so good mkataba wa dai na voda upo pale pale na mkwanja anaendelea kuuvuta kama kawa sasa sijui mwenzetu unachoshangilia ni nini!
KUHUSU ISHU YA MAVOKO, CONCEIN YAKO SIO KWA MAVOKO, wasiwasi wako ni kwamba, endapo mavoko atasign WCB UHAKIKA WA KUFANYA VIZURI UPO, na akifanya vizuri u know what it is means meeen! SIFA NA UTUKUFU UNARUDI KWA SIMBA, HAHAHAHAHAHAHAAAAAAA jina la WCB litazidi kukuwa na kutambulika, uknow what it means?? Wasanii wengine wengi watavutwa kujiunga, u know WCB ITAKUWA NA MIZIZI IMARA TO THE POINT KUWA HATA MJE NA MIZINGA YA NYUKLIA hamtaweza kuibomoa tena, na ndio maana umeanza mapeeeeema, sasa umeona um provoku mavoko ili abatilishe uamuzi wake ujisifu tena, sasa kwa taarifa mavoko atasign and so many many to come, na mwisho kabisa u know who will be next to sign with WCB [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
And all u wish for ni kumuona diamond
BWANA TUSCHOSHANE MWAKA HUU HASHINDI CHOCHOTE!
Mimi kama mimi nampigia kura not because i think he will win, au he has potential to win, NOT AT ALL.
Ila hii AJE kwakweli imekuwa shida hapa mjini, ila sio mbaya mwache naye AJE tuone, ila kwa faida yako tu baraka atakuwa chini ya lebo ya kiba hivi karibuni, enjoy team mziki mzuri!
kwani anaenda kusimamiwa na chibu au anaenda kusimamiwa na kina salam ili awe kama chibu?
SIO KWELI! Mimi ni mshabiki wa Dimond toka anatoa MBAGARA ila tofauti na nyie NASEMA UKWELI MDA WOTE, SIMUABUDU KIBOYA BOYA. Akifanya jema nasifia, akikoroga nachamba kama hivi.
Na sio kweli natamani asiwepo kimziki, juzi hapa nimemshauri afanye Collabo na KOFFI ANTWAR OLOMIDE, dude kama Ekotiteeeeeeeeeee afu awempo mmanyema ndani balaa hilo. kati yenu nani anamshauri mambo ya msingi kama haya?
KUONESHA MIMI SIO TEAM WEMA, KUNA MCHAMBO WA WEMA NA UPUPU ALIOFANYA KUSHUSHA BEI YA LIPSTIC MARA 3
LONG GONE ARE THE DAYS MUSIC WAS MUSIC AND MUSICIANS HAD PRIDE! SHAME SHAME SHAME KUSIGN WCB AFTER ALL THESE HITS. BRING OUR RICH TO HIS SENSES.
Hivi mkuu katika hali ya kawaida unaona kuna mtu anaweza kukuajiri ili uwe tajiri kama yeye?
Hao kina Salam wameajiriwa kummanage D, hivyo hivyo hao kina Mavoko watakuwa Managed na kina Salam ila chini ya D. So D anakuwa bosi wao wote hapo.
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11
Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia invitation uje usome.
BACK TO TOPIC!
Hahahaaa Rich Mavokoooooooooo, rich weweeeeee mzeee wa MARRY ME, nikupeleke kwa Mama Richard kweli wa kukaa lebel moja na watoto wa jana kina Harmo ushuziii (Dogo nilikuwa namkubali huyuu ila alivonitokaaa kama mshipi.) na yule dogo Talentless kabisaa hata jina simjui. Hata wimbo wake mmoja siujui. KWELIIIIIIIIIIIIIIIII! Gerra out of here!
Rich ulikuwa unapambanishwa na Dimond enzi hizo na unampeleka peleka ipasavyo, namna gani mtoto wa mama Richard? Namna gani. Kabisaaaaaa umesign WCB. Duuu aiseeeeeeeeeee! Bora ungekufa na tai shingoni kama Blue Byser, Shetta Shettani, na Baraka Da Prince usiwe na management uwe tu huru.
Au bora ungeenda kusign kwa Petit man, mara laki tano maana yule meneja tu na sio msaniii kama domo. Tseeee tseeeee tseeeee RICHHHHHHH!!!!!!! MAVOKALIIIIIIII???????? Heeeeeeeeeeeeyyyyy Chinekeeeeeeeeeeeeeee! Mara 100 ungeenda kusign kwa Bob Junior. Umeona Ali Kiba alilost kabisaaaa kwa lile jibibi kijana ila kajizoaaa zoaaa si huyo karudiiii.
Anyway, Rich wewe ni wangu, mi nangoja hio 2 nd June nikuonee, nione na huko WCB huenda uka surpass my expectation which to be honest i dont have any. Sijuiiiiiiiiiiiiii kwa kweli. Nisiongee sana maana heshma kidogo niliobakiza kwako ni ya kazi zako za nyuma, mkubwa ulieleweka sanaa enzi hizo, wacha ningoje hio 2nd June.
Afu WCB mbona kama MMEPANIC HIV? Kila siku wimbooo, kila siku wimbooo. Huyo dogo talentless huo wimbo mlioachia juzi hata sijausikiza nasikia mnatoa tena wa Mavoko, mzazi mavoko sababi alisomeka kitambo hiko nitausikiliza, sijakaa vizuri nasikia Mzee wa Katapult kijana wa The Don himself, Don Jazzy, Koredo Bello sijui nimepatia maana kiukweli sijawahi kumuelwa mara mia angefanya collabo na baba Gigy Money Alihaji Techno, Nasikia Harmo ushuzi ndo anaachia nae kigoma, Hahahaaa! Na Paka wa kufugwa kaenda kufanya wimbo na vizee vilivochuja Psquare. Hahahaaaaa!
Niko hapa kutoa review zangu ila so far AJE umeleta noma sanaa huko WCB.
Nadhani Mavoko atashine sana na WCBIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11