Mawere Mtokambali
Member
- Oct 5, 2015
- 7
- 2
Ifike pahala sasa tutambue ya kwamba ni Muda wa Kui inua Bongo Flava Yetu na sio kuikandamiza kwa hizi team zenu Ushuzi mtupu. Kwani Mavoco Kuwa chini ya WCB ama hata huko kwa Mavi gani kuna shida gani kama Muziki wake utazidi kukua na Kuzid kuingiza kipato? Kwan msanii kuwa Chini WCB ama Lebo yeyote ya Msanii wa hapa Bongo kuna shida? Mbona Good Life(Moze na Whizo), Navio n.k wako chini ya Lebel ya Jozee Chamelion na wana fanya Vizuri tu?.
Muziki wa Bongo Flava ni Game la Kuangalia mweleko wa Upepo. Mavocco kaaangalia Mwelekeo wa Upepo na akatambua kwamba Ugali upo WCB na ni Ukwel mtupu kwamba Upepo wa burudan kwa sasa upo WCB japo kuna baadhi nao wakijitahidi kupinga sababu tuu ya Ukubwa wa Majina waliyo kuwa nayo Hapo awali.
Alikiba na Diamond ni Chachandu tuu kuongeza ladha lakin bongo Flava wao waliikuta, hivyo ibaki kama ilivyo na Hizi team Mavi zipite hivi zituache na Bongo flava yetu.
Na wewe unae sema talentless jaribu na wewe kuimba kma watu hawata kimbia wakidhan wamemsikia Mbuzi akiimba,
Booooooooooooooooooooom, Tukana na Mimi nkujibu.