Muziki ni biashara lakini cha kushangaza wasanii wengi hawataki kujifunza the ins and outs of the music business.
Personally sishangai mavoko kusign WCB coz najua kilichompeleka pale ni established infrastructure ya WCB, kinachonishangaza na kwa nini he didn't demand a better deal i.e mavoko angekuwa na label yake ambayo ipo independent lakini ipo chini ya WCB, hivi ni vitu ambavyo vipo mfano MI ana label yake ipo chini ya chocolate city, Ice Prince naye amefuata nyayo, ukienda mambele mfano mzuri ni Dr Dre yupo chini ya Interscope, chini ya dre kuna shady, chini ya shady kuna g unit.
Au kama mavoko angekuwa na mtaji angefanya partnership na WCB kwenye management kama alivyofanya d banj na good music.
I guess mavoko mfukoni hana kitu na hana washauri wazuri, beggars can't be choosers.