Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

Kumbe anaitwa Raymond? Ooooh! SASA ZAIDI YA KUMCOPPY BOSS MELODY WHAT THE HELL IS THE KID DOING? ATLEAST HARMO IS A COPY CAT BUT A GOOD ONE.

UJUE A MUSICIAN SHOULD HAVE HIS ID, SASA WAO WANATUMIA MELODY ID YA DOMO. Huyo dogo hata wimbo wa MANFONGma hii O SHEMEJI TUNAKULAGA UMENIBAMBA NILIUSIKIA ONCE ILA UMENIKAA KICHWANI. DOGO PAMOJA NA KUMUONA ENDLESS INSTA badooooooooo in harmonise voice.[/mkaQUOTE]
Raymond ngoma yake ya BADO, ni kali, sema nataka kiki ndiyo kachemka
 
Usipaniki, hivi ni vitu vya kawaida, chukua mfano wa huko mbele wasanii wakubwa kama nick minaj, drake, lil wine, Mick mill, Rick ross na wengine wakubwa tu wanavyosign kwenye label ya msanii mwenzao Birdman ya YMCMB.. hivi ni vitu vya kawaida... Sema tu una chuki yako binafsi
 
Haya ni mambo ya biashara anayeweza kuelewa vizuri ni mteja na mwenye Mali. Juzi nimeona AY akiamua kumpa Salaam kazi ya umeneja ili Salaam awe meneja wa AY. Pamoja na uzoefu wote alionao AY kwenye muziki lakini ameona ni vema afanye kazi na WCB. Sasa huyo Mavoko unadhani hana akili?
Tujifunze kuweka maneno ya akiba
 
Hahahaaaa! Mimi kuogopa kukutag HILO SAHAUUUU! Yani uzi wangu mwenyewe, niamke ndani kwangu niuandike afu nimuogope mtu thubutuuuuuuuuuuu!

WEWE NDO HUWEZI KUWAZA AU KUONA KITU BEYOND DIMOND. NDO MAANA HUU UZI WA RICH MAVOKO ILA ALL YOU CAN THINK IS DIMOND DIMOND DIMOND!

Mie chuki sinaaa, WATANZANIA WOTE NI NDUGU SO TECHNICALLY NI NDUGU YANGU, HAHAHAAAAAAAA! DAVIDO IS BETTER THAN DIMOND IF THAT IS FACT. NDO MAANA ANA SALE OUT ARENAS NA HAFANYI SHOW ZA CHOCHORO. Dimond akikaza one day yes atafanya nae kama David Inshaalah!
Basi uwe unajibu maswali sio unaleta mipasho.
 
Naona watu jamani hawajamuelewa lara1.
Ni kwamba Lara as a fan wa rich mavoko ambaye alikuwa juu balaa hata mimi nilitegemea ndio angekuwa Jembe now.....ashuke so fast kihivyo mpk kiwekwa level Moja na akina harmonize!!
What went wrong for him!! Hicho ndicho Lara anajiuliza. Ingawa mstari wa mwisho amerusha jiwe gizani. .....naona limewapata watu fulani
 
Haya ni mambo ya biashara anayeweza kuelewa vizuri ni mteja na mwenye Mali. Juzi nimeona AY akiamua kumpa Salaam kazi ya umeneja ili Salaam awe meneja wa AY. Pamoja na uzoefu wote alionao AY kwenye muziki lakini ameona ni vema afanye kazi na WCB. Sasa huyo Mavoko unadhani hana akili?
Tujifunze kuweka maneno ya akiba
Ila AY hajasign na WCB. Rich angemuajiri Sallam sawa sio ku sign kuwa chini ya label ya artist mwenzie. Tseee tseeee steee SMH!
 
Haya ni mambo ya biashara anayeweza kuelewa vizuri ni mteja na mwenye Mali. Juzi nimeona AY akiamua kumpa Salaam kazi ya umeneja ili Salaam awe meneja wa AY. Pamoja na uzoefu wote alionao AY kwenye muziki lakini ameona ni vema afanye kazi na WCB. Sasa huyo Mavoko unadhani hana akili?
Tujifunze kuweka maneno ya akiba

Mind you, AY hajasign WCB, AY kamwajiri Salam awe meneja wake pia. On the other hand, Salam anakuwa ana ajira mbili tofauti, ya kwanza ni kwa D na ya pili ni kwa AY.

Na hapa AY hahusiani chochote na WCB.
 
kulala na mwanaume mmoja haimaanishi kuwa tunafanana viwango!
kwahiyo rich kuwa lebel moja na harmo na ray haimaanishi kua viwango vyao viko sawa!
Rich mtu mzima anajua alichofata na nini kinampeleka WCB!
OVER....!
 
Swali kwako, unasema D kawaajiri kina Salam, je Mavoko atakuwa amewaajiri au ameajiriwa?

Usichanganye vitu mkuu, WCB ni label, Salam ni mwajiriwa WCB, mmiliki wa label ni D. Mavoko atakuwa mwajiriwa kama alivyo Salam kila mmoja kwa majukumu yake.
Kwani salam kaajiriwa kufanya nini hapo WCB kama sio kumsimamia Diamond? Pointi yangu ni kuwa watu wanaongea as if Diamond ndio atakuwa meneja wa Mavoko! Mavoko alichokifuata hapo ni management ya WCB, WCB kumilikiwa na Diamond sio ishu.
 
Unadhani WCB ni independent kwa anachokifanya Diamond?

Yaani wanaweza kufanya maamuzi ambayo yanakinzana na utashi wa Diamond?
 
Usipaniki, hivi ni vitu vya kawaida, chukua mfano wa huko mbele wasanii wakubwa kama nick minaj, drake, lil wine, Mick mill, Rick ross na wengine wakubwa tu wanavyosign kwenye label ya msanii mwenzao Birdman ya YMCMB.. hivi ni vitu vya kawaida... Sema tu una chuki yako binafsi
Exposure pia muhimu watu awajatembea tusiwalaumu mtu katembea sana kaenda out masaki. So vitu vingine ni kusamehe tu lol
 
Back
Top Bottom