Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

AND THE FOOLS MONEY WAS GONE WITH HIS SIGNATURE

095cd307ed53e0f347016168e4aa4460.jpg
 
Exposure pia muhimu watu awajatembea tusiwalaumu mtu katembea sana kaenda out masaki. So vitu vingine ni kusamehe tu lol

Pole bibi njoo uchungulie passport yangu. Hahahaaa! FYI mi sibebi box useme nimejifungia kinchi kimoja Haloooooo! Nafanya biashara zote haramu na halali.
 
Done deal :WCB sign Rich Mavoko
 
Inapaswa umlaumu RchiMavoko kama atachemsha now ni mapema sana kuanza kumponda
 
Unadhani WCB ni independent kwa anachokifanya Diamond?

Yaani wanaweza kufanya maamuzi ambayo yanakinzana na utashi wa Diamond?
of course, hapa tunaongelea professional decisions, husikii Diamond alivyoimba kufokewa na salam?
 
Diamond,hamoniza na ray mtengeneze tu band muwe mnaimba kama ya moto..maana mnaigana sauti,kucheza nk
 
Sidhani kama umeshawahi kununua kazi yoyote ile ya msanii zaidi ya kudownload kwa MB na kutumia wahtsapp...
 
Hamna kitu kibaya kama kuongelea mambo ambayo mtu huna weledi nayo!
 
Naona watu jamani hawajamuelewa lara1.
Ni kwamba Lara as a fan wa rich mavoko ambaye alikuwa juu balaa hata mimi nilitegemea ndio angekuwa Jembe now.....ashuke so fast kihivyo mpk kiwekwa level Moja na akina harmonize!!
What went wrong for him!! Hicho ndicho Lara anajiuliza. Ingawa mstari wa mwisho amerusha jiwe gizani. .....naona limewapata watu fulani
Kawekwa level moja na akina Harmonize kivipi?! Ile ni Music Label na sio Talent Search House kama THT!
 
Rich is so talented aiseeee ni kati ya wasanii wenye potential sema music industry iko corrupted vibaya mno inahitaji uwe roho ngumu ili uendelee kusimama na hapa ndio kipimo cha ushupavu kilipo vinginevyo unaishia kutumika na tycoons kisha kipaji chako kinaenda na maji kama utani.
Ni ngumu watu kuelewa ila mleta uzi anachomaanisha ni vile THE BEST FIGHTER ANAPO THROW A TOWEL EASILY kukubali kushindwa the moment ambayo unaamini angeweza ku-offer kitu zaidi,ingawa Rich mapema alionyesha kunyoosha mikono juu na ilikua wazi ataangukia mikononi mwa WCB kwa kua uwezo wa kufikiri ulifika mwisho na hakutaka kusema na NJAA yake najua aendako atashiba sana kwa muda ila awe makini na kutunza masurufu safari ni ndefu anaweza kufa njaa uko mbele pia pale WCB hawana utaratibu wa kuandika joint za uhakika wanaamini kwenye vimistari vyao dhaifu,vichupa vya hatari na midundo ya kuchezeka asisahau pia STUNTS lundo ili abaki kwenye line BTW ngoma yako mpya sio mbaya kiviile ila kama hauko sawa inawezeka umepanic mwanzo mgumu kua chini ya label all in all nakutakia kila jema kwenye HUSTLE zako maskini mwenzangu....Peace [emoji111]️
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11

Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia invitation uje usome.


BACK TO TOPIC!

Hahahaaa Rich Mavokoooooooooo, rich weweeeeee mzeee wa MARRY ME, nikupeleke kwa Mama Richard kweli wa kukaa lebel moja na watoto wa jana kina Harmo ushuziii (Dogo nilikuwa namkubali huyuu ila alivonitokaaa kama mshipi.) na yule dogo Talentless kabisaa hata jina simjui. Hata wimbo wake mmoja siujui. KWELIIIIIIIIIIIIIIIII! Gerra out of here!

Rich ulikuwa unapambanishwa na Dimond enzi hizo na unampeleka peleka ipasavyo, namna gani mtoto wa mama Richard? Namna gani. Kabisaaaaaa umesign WCB. Duuu aiseeeeeeeeeee! Bora ungekufa na tai shingoni kama Blue Byser, Shetta Shettani, na Baraka Da Prince usiwe na management uwe tu huru.

Au bora ungeenda kusign kwa Petit man, mara laki tano maana yule meneja tu na sio msaniii kama domo. Tseeee tseeeee tseeeee RICHHHHHHH!!!!!!! MAVOKALIIIIIIII???????? Heeeeeeeeeeeeyyyyy Chinekeeeeeeeeeeeeeee! Mara 100 ungeenda kusign kwa Bob Junior. Umeona Ali Kiba alilost kabisaaaa kwa lile jibibi kijana ila kajizoaaa zoaaa si huyo karudiiii.

Anyway, Rich wewe ni wangu, mi nangoja hio 2 nd June nikuonee, nione na huko WCB huenda uka surpass my expectation which to be honest i dont have any. Sijuiiiiiiiiiiiiii kwa kweli. Nisiongee sana maana heshma kidogo niliobakiza kwako ni ya kazi zako za nyuma, mkubwa ulieleweka sanaa enzi hizo, wacha ningoje hio 2nd June.

Afu WCB mbona kama MMEPANIC HIV? Kila siku wimbooo, kila siku wimbooo. Huyo dogo talentless huo wimbo mlioachia juzi hata sijausikiza nasikia mnatoa tena wa Mavoko, mzazi mavoko sababi alisomeka kitambo hiko nitausikiliza, sijakaa vizuri nasikia Mzee wa Katapult kijana wa The Don himself, Don Jazzy, Koredo Bello sijui nimepatia maana kiukweli sijawahi kumuelwa mara mia angefanya collabo na baba Gigy Money Alihaji Techno, Nasikia Harmo ushuzi ndo anaachia nae kigoma, Hahahaaa! Na Paka wa kufugwa kaenda kufanya wimbo na vizee vilivochuja Psquare. Hahahaaaaa!

Niko hapa kutoa review zangu ila so far AJE umeleta noma sanaa huko WCB.
Huu ni mchambo wa haja
 
Samahani waungwana mnaoniheshimu ila nitampa neno dogo huyu binti anayejitoa ufahamu kwa muda.....

Lara ninakuhusudu sana na hasa kwa story zako ziniondoleazo stress lakini ukweli nitausema

Mchawi si lazma apae hivyo, "WEWE NI MCHAWI"
post yako umeikubali au!
 
Back
Top Bottom