Rich Mavoko ndani ya WCB kunani?

Hata mimi nna wasiwasi na huyu jamaa maana hata ushirikiano na wenzake sio mzuri na nyimbo hatoi kwa wakati yani yupo yupo tu
 
Kwan hujaskia nyimbo ya WANAKUTAMANI mpya ya juz???? Na anafany kolabo kibao we mhenga nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…