kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
DemuetokaaeashaiwakamdarefuhatayaannidarefuMbona nilimuona kama kakonda sana yule jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DemuetokaaeashaiwakamdarefuhatayaannidarefuMbona nilimuona kama kakonda sana yule jamaa
Demuetokaaeashaiwakamdarefuhatayaannidarefu
Kwa maana hiyo sisi wa kiume hayo tuachane nayo,,,viba100 team kiba100 uyu mtoa mada.. ametumwa kujuwa habari za mwanaume mwenziye
Kwan hujaskia nyimbo ya WANAKUTAMANI mpya ya juz???? Na anafany kolabo kibao we mhenga nnWakuu na wadau wa jamvi hili habari!
Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti tu,hivi ni nini kinaendelea pale wcb kuhusu rich mavoko na mpango wake wa kazi...maana wenzake wamekuwa wakiachia ngoma kila leo,ila yeye yupo kimya muda mrefu sasa,na hata kupost insta amepunguza,yani c kuhusu kazi tu hata kazi nyengine za wcb amekuwa anazikazia.
-Jee,Rich mavoko anabaniwa pale wcb?
-Jee, Kasi yake ya kutoa nyimbo ndo inamuangusha hivyo kushindwa kuendana na kasi ya wcb?
-Jee,zamu yake bado?kama ipo hiyo zamu.
-Jee,yupo bize na maandalizi ya album yake anayosema ataichia soon?
Kama kuna za chini ya carpet ningeomba tujuzane,ili sie mashabiki nyoyo zitutulie kdg.maana this is not normal.
Naambiwa namba haipo mkuuChini ya carpet kuna michanga tu.... Mcheki kwa namba 0713800800 atakupa A B C zote.