Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mwanaume unajichubua ili iweje!? Unataka nini!? Wa Tanga eeeh, huenda!!!
Dume zima et linajisifi limeng'aaa...wanaume wa kizazi hiki bure kabisa!!!
Mbona Michael Jackson alijibadilisha ngozi hamkusema!
Dume zima et linajisifi limeng'aaa...wanaume wa kizazi hiki bure kabisa!!!
Naona Akon hajashika pesa wala Baloteli ndio maana hawang'ai