Rich Mavoko: Sijajichubua, ninang'aa tu

Rich Mavoko: Sijajichubua, ninang'aa tu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua.

Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya;

"Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone" .


Rich Mavoko ameongezea kuwa "Hata maisha yangu yamebadilika, so ni kung'aa tu kwa mtu na sio kujichubua, wanaonijua watasema sijabadilika zaidi ya kung'aa tu".
 
Dume zima et linajisifi limeng'aaa...wanaume wa kizazi hiki bure kabisa!!!
 
Dume zima et linajisifi limeng'aaa...wanaume wa kizazi hiki bure kabisa!!!

hahaha harafu siku hizi ata wanaotumia mkorogoro hawasemi tena kujichua wanasema kung'aaa
 
Mussa hussein akisema wanaume wanashinda mno kwenye vioo tunamuona anaropoka...mnajichibua ili iwe nini?wengi wenu ndio mule mule
 
Wabongo fleva ni kujichubua tu na kuweka miwevu kichwani ,kupaka mipoda na kuvaa mieleni kama dada zao.
 
Mbona Michael Jackson alijibadilisha ngozi hamkusema!
 
Mtoto wa uswazi akijichubua haimaanishi anaukimbia uafrika
 
Kumbe maisha yakizidi kua mazuri atakua mzungu sasaaa
 
Mimi picha kibao nimepigia I phone ila huwa sitoki hivyo labda kama imeeditiwa
 
Back
Top Bottom