Rich Mavoko vipi huko kwenu?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Huku Namtumbo jamaa maarufu kinoma,na ngoma zake ni nyimbo za wilaya huku has a hii pacha kwani video kama imeshutiwa Mbele huko.

Vipi huko kwenu ,nako mnamuona ana kipaji na ni maarufu?

Muuza Sura vipi kinondoni huko kuhusu mavoko?

Somji Juma na nifah huyu jamaa vipi!!

Dinazarde huko nyegezi,igogo,buhongwa mavoko sio maarufu?

Rutashobolwa jamaa sio mkarez kweli?
Paula kilaki,@el nini data Chinga One mtvbase hivi mavoko si anamzidi kiba kwa video Kali?

Hebu tujadili
 
Last edited by a moderator:
Yaan huku sie ni Platnum babyyyyyyyy,,wasafiiiii
Mavoko yuko poa lakin wanamjua sio wengi sana yaan hatangazwiii sanaa
 
wacha kabisaaa, jamaa ni nyokoo, huku kwetu wanamuita CHUI siku hizi, kijana ni mkareeee, hajawahi kuniboa kiukweli.
 
Yaan huku sie ni Platnum babyyyyyyyy,,wasafiiiii
Mavoko yuko poa lakin wanamjua sio wengi sana yaan hatangazwiii sanaa

dina nimekumiss, uuwiii kitecno kangu kanazingua sijui kaliogopa dongo la wema, kanataka kafe eti nikanunue galaxy.
 
dina nimekumiss, uuwiii kitecno kangu kanazingua sijui kaliogopa dongo la wema, kanataka kafe eti nikanunue galaxy.

Hhhhhhhaaa nimekumiss piaaa, ,,hicho kitecno komaa nacho hata ukiibiwa hulii kuna Tecno na galaxy pia hhhhhuuuuuuuu
 
mavoko namkubali sana hajawai kuniangusha, anajuaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…