Rich Mavoko vipi huko kwenu?

Rich Mavoko vipi huko kwenu?

Kichupa chake cha pacha wangu nimekikubali sana. Ndio video yangu kali toka bongo kwa mwaka huu, ata wimbo ni mkali pia.
 
Daah yombo dovya tena nisi ijue wakati sisi wamachinga ndio mitaa yetu hiyo,sema wewe unatoka relini,shule,chama,kwa mwinyi,abiola,isabela,sola pawa,kwa mama kibonge,njia panda ya kitunda,nyama choma,kwa lulenge,ccm,wacha wacha au kanisani????

Ulivyotaja ni kama vile ni uswahilini sanaaaaa wakati kuna maeneo makali kuliko hata ushuani kama unabisha nitakupa mifano live kbs.
 
Ulivyotaja ni kama vile ni uswahilini sanaaaaa wakati kuna maeneo makali kuliko hata ushuani kama unabisha nitakupa mifano live kbs.

blaza naijua yombo vizuri,pale chama pako hovyo sana ila ukija abiola kuko poa sna yani tena zaidi ya tabata.
 
Huyu jamaa yupo njema ila sijajua kikwazo kwake ni kipi management au nn maana ki uhalisia ni kama wa2 wanajifanya hawa mwelewi na siyeye peke yake ww mtu kama machoz,C sir,Sajna ndio gemu ya tz ilivyo.
 
Kwa mjibu wa ally Kiba video ya Mwana imefanyika nje ya Tanzania nje ya Afrika
nyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetere
 
Dogo ameikamata vilivyo Bunju A. Hapa Bunju Shule ndo balaa zaidi, pacha wangu ni kama wimbo wa Taifa.
 
Huyu jamaa yupo njema ila sijajua kikwazo kwake ni kipi management au nn maana ki uhalisia ni kama wa2 wanajifanya hawa mwelewi na siyeye peke yake ww mtu kama machoz,C sir,Sajna ndio gemu ya tz ilivyo.
Mkuu kuna kpnd huyu dogo alpewa sana promo na media,i dnt know whats wrong
 
nyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetere

Mtu aliyekaa kmya miaka miwil,na kurud na wimbo mmoja tu then kaishka nchi unasema hajui target ya mziki.??

Labda hajui target ya skendo..
 
Mkuu kuna kpnd huyu dogo alpewa sana promo na media,i dnt know whats wrong

Mhhh promo sawa vp management yake ni nan maana hajaanza jana ni muda na anautunz mzuri lakin shangaa tunzo zote kapewa Domo sijui utaratibu ukoje
 
nyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetere
umeambiwa anashindana na nani?kwa hiyo aache kufanya mziki eti kwa kua dimond anafAnya mziki
 
Back
Top Bottom