Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ahsante, nilikua huku tu kumbe hata huko ughaibuni
Dunia kijiji. Huku tunaweza kupata vitu vingine kabla havijafika Ruvuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante, nilikua huku tu kumbe hata huko ughaibuni
naona umeanza vizuri ila umeweka kauchokozi kidogo
Sijui ata shutia mwembe yanga? Maana kwa jinsi wimbo ulivyo unataka mazingira ya uswahili kama yombo dovya.
Huyu angepewa promo anazopewa Alikiba at least Diamond angepata mpinzani, hautaki sikushikii fimbo.
kweli aisee kiba wanampa promo tu wakati hamna kitu
Sema haki ya mungu?kweli aisee kiba wanampa promo tu wakati hamna kitu
Yep ukiweka Udiamond na Ualikiba pembeni huo ndio ukweli kwa sasa.
Sema haki ya mungu?
kweli aisee kiba wanampa promo tu wakati hamna kitu
kwa nini amtaje kiba wakati anajua dadamond kwa kiba hasimamiWapi hapo mkuu?
Huyu angepewa promo anazopewa Alikiba at least Diamond angepata mpinzani, hautaki sikushikii fimbo.
Hiyo album ni ya mavoko au?Tafuta Album ya kwanza ya Alikiba inaitwa Cinderella yenye nyimbo zaidi ya 15 uisikilize vizuri, then njoo usikilize nyimbo nyingine kama Dushelele,Karim,Msiniseme,Single boy,Far Away,Mali yangu,My Everything,Mapenzi yanarun dunia,Mwana daslam, etc na nyimbo zoote alizowah kushirikishwa.Ukimaliza njoo tubishane
Chinga yombo dovya unakufahamu?