Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Huyu angepewa promo anazopewa Alikiba at least Diamond angepata mpinzani, hautaki sikushikii fimbo.
Daah yombo dovya tena nisi ijue wakati sisi wamachinga ndio mitaa yetu hiyo,sema wewe unatoka relini,shule,chama,kwa mwinyi,abiola,isabela,sola pawa,kwa mama kibonge,njia panda ya kitunda,nyama choma,kwa lulenge,ccm,wacha wacha au kanisani????
Jamaa ni mkali sana sema hatu wamekariri baadhi ya wasanii ndio wasanii!
Word,hicho kioo ni noma piaKichupa chake cha pacha wangu nimekikubali sana. Ndio video yangu kali toka bongo kwa mwaka huu, ata wimbo ni mkali pia.
Inasemekanaa katolea south Afrikaaa
Mxiiiiiiuuuuuuuu too
Hahahahaaa! hiii nayo kali jaman hahahaa uuwi mecheka kwa nguvu mpaka nimeonekana chizi
Ulivyotaja ni kama vile ni uswahilini sanaaaaa wakati kuna maeneo makali kuliko hata ushuani kama unabisha nitakupa mifano live kbs.
nyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetereKwa mjibu wa ally Kiba video ya Mwana imefanyika nje ya Tanzania nje ya Afrika
Mkuu kuna kpnd huyu dogo alpewa sana promo na media,i dnt know whats wrongHuyu jamaa yupo njema ila sijajua kikwazo kwake ni kipi management au nn maana ki uhalisia ni kama wa2 wanajifanya hawa mwelewi na siyeye peke yake ww mtu kama machoz,C sir,Sajna ndio gemu ya tz ilivyo.
nyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetere
Mkuu kuna kpnd huyu dogo alpewa sana promo na media,i dnt know whats wrong
umeambiwa anashindana na nani?kwa hiyo aache kufanya mziki eti kwa kua dimond anafAnya mzikinyimbo ya mwaka 2014 video itoke 2015 hlf anataka kushindana watu ambao wanajua target ya muziki msaani wenu atakufa kimyakimya km mfuasi wa kibwetere