Rich or Poor Challenge

Rich or Poor Challenge

Jeief to Jeifesibuku
Uwe unapiga hodi kwenye majukwaa sio unaingia kama ng'ombe zizini!! Hapa ni jukwaa la utani, unataka tuzungumzie UCHUMI? TRAP & TRAT sijui?? Kunja ngumi piga picha post hapa tuone umasikini wako
 
Leo tutaona mikono inayopiga nyeto na Ile ambayo ikichomoka inarudisha wakuu leteni viganja vyenu
 
Mie nina alama ya RICH mkononi, lakini ni FUKARA wa kutupa, na maisha yanasonga.

Nipo kwenye kitanda changu cha kamba, natizama mikono ya watu. 😂
 
Uwe unapiga hodi kwenye majukwaa sio unaingia kama ng'ombe zizini!! Hapa ni jukwaa la utani, unataka tuzungumzie UCHUMI? TRAP & TRAT sijui?? Kunja ngumi piga picha post hapa tuone umasikini wako
Punguza kujieleza
 
Kama hauna kiganja Kama hicho changu basi kama umeajiriwa hauwezi ukakutanisha mishahara hata siku moja
 
Attachments

  • IMG_20240428_211208_3_1714327965871.jpg
    IMG_20240428_211208_3_1714327965871.jpg
    514.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom