Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #21
Uwe unapiga hodi kwenye majukwaa sio unaingia kama ng'ombe zizini!! Hapa ni jukwaa la utani, unataka tuzungumzie UCHUMI? TRAP & TRAT sijui?? Kunja ngumi piga picha post hapa tuone umasikini wakoJeief to Jeifesibuku