Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kwa kifupi makalla ni zero brain ndo maana ukuu wa mkoa ulimshindaMwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
mkuu una hasira kaliNashauri amtungie kitabu iwe funzo kwa taifa jina likiwa "Makalla ze kidomodomo by Richard Mabala"👿itakuwa powa sana!!
Mambo mangapi Lissu na Heche wanaropoka na HAWANA ushahidi na bado hawajachukuliwa hatua?Mabala yupo sahihi
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,
ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Msomi huyo daah, km taifa tuna safari ndefuMwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,
ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Eti Wassira naye huko Kagera anasema eti Mbowe hajafariki bali yupo amejificha anauguza majeraha ya matusi aliyotukanwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa taifa. CCM bana dah!Hii ya Amos Makalla ndo hasa maana halisi ya "kuropoka" hovyo...
Na hii ni ishara ya kuwa, huko kwenye kambi ya kijani na njano, wamekuwa very much confused and frustrated na hoja ngumu na za kweli za CHADEMA za kudai mabadiliko ktk mfumo wetu wa uchaguzi zinazochagizwa na kaulimbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION...
Hakukaliki huko. Steven Wassira na mwenzake Amos Makalla wanatembea nchi nzima wakibweka kama mbwa Koko wakiropoka lolote linalotoka midomoni hovyo kama vichaa asiyeweza kupima matokeo (consequences) ya kile kitokacho midomoni mwao....
Apelekwe mahakamani huyo...