Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hamna kitu huyo jamaaMwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,
ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!