gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Anafungua kesi ya Nini!?..huo so ndiyo uhuru wenyewe ambao hata chadema huropoka hovyo dhidi ya watuMwanasheria msomi JEBRA KAMBOLE anaenda kufungua kesi...hii kauli inahatarisha sio usalama Bali hata utalii utakufa
Mkala+a after M🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Makala Kwa kabila lako ni nini?Mimi Kwa kabila langu ni mkaa🤣🤣
Umenielewa nahisi.Mkuu unakunywa chang'aa?
Nimekuelewa! Ahahahahaha!!Umenielewa nahisi.
CCM na wanachama wake wamefilisika kiakiliMwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,
ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama achukuliwe hatua kwa kusababisha taharuki kwa wananchi kwa kusema uongo."
View attachment 3281015
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!