Mamba Kinko
Member
- Nov 6, 2018
- 39
- 13
Yes sure 100%%%%^ππππππsure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes sure 100%%%%^ππππππsure
Hebu njoo dar vs nai usaidie dadako lucy ku-post picha maana anasema hajui .pia umsaidie kutueleza per capital ni nini. Fanya wepesiYes sure 100%%%%^
Aliyebuni ni nani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi Kunya umezimaliza. Kubuni jina nayo ni invasion[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kw majina na facts please[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]hahahaha....wazee wa kubuni jina....technology system ya mpesa ilibuniwa na wazungu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo yakuwa mnanitaja hovyo muhacheππππππsure
πππmelisaaaa huwa unanichekesha sana.Hongera kwa kukumbuka password.Mambo yakuwa mnanitaja hovyo muhache
We nyang'au next jitete hv: Kwamba, walishirikiana na Mkenya ku invent hio Mpesa ila kwa kuwa Mkei hakuwa na hela as ku invent hio tech inahitaji hela mingi, so ikabidi awe mdogo akawaachia jamaa wenzake wenye hela zao wakahodhi kila kitu, but the history holds Mkei alikuwa mmoja wa watu walio invent Mpesa. Hii itakusaidieni sana kwenye utetezi wenu.Hehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
We nyang'au next jitete hv: Kwamba, walishirikiana na Mkenya ku invent hio Mpesa ila kwa kuwa Mkei hakuwa na hela as ku invent hio tech inahitaji hela mingi, so ikabidi awe mdogo akawaachia jamaa wenzake wenye hela zao wakahodhi kila kitu, but the history holds Mkei alikuwa mmoja wa watu walio invent Mpesa. Hii itakusaidieni sana kwenye utetezi wenu.
huyo mkenya alieshirikiana ni nani???? au uhuru kenyataππππππππHehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
ajabu sana kukuona unaumwa hvo...who is rechard...jst a reporter...oooo...i wana know that muzungu please..ooooo no...you will start yapping that richard told you...huyo mkenya alieshirikiana ni nani???? au uhuru kenyataππππππππ
ww nawe umetokea wapi..umeona ile tweet ya brazaa anayefanya kazi kwa safaricom alivyosema ...usishobokee vya watu as long as unafaidika kwa kutumia we appreciate tu next time kenyan watavumbua vitu vikubwa zaidi ya mpesa pengine watakuja na kenya pesa ....Tuombe tu Mungu pengine watabuni rocket ya kwenda anganiHehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
Nyagaka Anyona Oukohuyo mkenya alieshirikiana ni nani???? au uhuru kenyataππππππππ