Richard Quest : Mpesa never invented by a Kenyan. πŸ˜…πŸ˜… The truth revealed

Kenyan are actually seriously stupid..what they did just take the system call it MPESA. Today they are everywhere advocating to clever man that they invented it. So tigo pesa iligunduliwa kiambu, how about Airtel money...the reason why Chinese are calling you Monkey everyday..kazi yenu kurukaruka tu
 
hahahaha....wazee wa kubuni jina....technology system ya mpesa ilibuniwa na wazungu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kw majina na facts please[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Hehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
We nyang'au next jitete hv: Kwamba, walishirikiana na Mkenya ku invent hio Mpesa ila kwa kuwa Mkei hakuwa na hela as ku invent hio tech inahitaji hela mingi, so ikabidi awe mdogo akawaachia jamaa wenzake wenye hela zao wakahodhi kila kitu, but the history holds Mkei alikuwa mmoja wa watu walio invent Mpesa. Hii itakusaidieni sana kwenye utetezi wenu.
 
Tofauti iko wapi hapo, hata Bill Gates au Steve Jobs walikua wamefulia wakati wanaanzisha uwekezaji wao, ujanja waliokua nao ni kwamba waliona mbali na kukomaa na hati miliki, Mkei pumbavu zake kachukua chake mapema na kusepa.
 
Hehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
huyo mkenya alieshirikiana ni nani???? au uhuru kenyataπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ajabu sana kukuona unaumwa hvo...who is rechard...jst a reporter...oooo...i wana know that muzungu please..ooooo no...you will start yapping that richard told you...

am feeling guilty for replying a non african citizen
 
Hehehe jamaa, yaani mtachimba mitandao yote kutafuta takataka yoyote itakayofuta aibu ya kushikishwa ukuta na wazungu kwa sakata la Bashite.
Mpesa ilibuniwa Kenya kwa ushirikiano wa Mkenya, tatizo hakua mjanja kujua umuhimu wa hati miliki kwenye teknolojia, akapigwa bao na wazungu.
Kuokota random discussion za watu kwenye Youtube sio kigezo chochote cha facts.
ww nawe umetokea wapi..umeona ile tweet ya brazaa anayefanya kazi kwa safaricom alivyosema ...usishobokee vya watu as long as unafaidika kwa kutumia we appreciate tu next time kenyan watavumbua vitu vikubwa zaidi ya mpesa pengine watakuja na kenya pesa ....Tuombe tu Mungu pengine watabuni rocket ya kwenda angani
 
Back
Top Bottom