Richard Quest on Kenyan SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Richard Quest on Kenyan SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Habari zilizo nifikia na zahuwakika nikuwa Richard Quest alikuwa anataka kufanya kipindi juu ya Kenya SGR najinsi inavyo chochea uchumi wa Kenya. Alipouliza juu ya Kenya SGR aliambiwa iko mbali sana kutokea Nairobi and for security purpose hawezi fika. Mchina aligoma juu ya wazo la Richard kufanya kipindi kidogo juu ya SGR.
Chanzo cha habari pia kimenitaarifu waliamua kumpeleka kwa meter gage ya EAR iliwaweze kuficha haibu ya Kenyan SGR. Kwa sasa kipindi chake kita ongelea zaidi juu ya M-Pesa

My Take.: The government of Kenya is embarassed by the Kenyan SGR aka mtambo wa Changaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_20181025_180430.jpg
IMG_20181025_180435.jpg
 
Iko wapi SGR ya Tanzania akuje kipindi huko?

Oh. Nimekumbuka. Tuta.. Ita... Ata...
Sisi nchi yetu haikaribishi mashoga aka choko aka punga aka bwabwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawataki kuja in the first place.
Akikukataa, usiseme ulimkataa wa kwanza.
Nikikupa list ya watu mashuhuuri waliokuja TZ utakimbia humu ndani. Sema niifungulie thread๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari zilizo nifikia na zahuwakika nikuwa Richard Quest alikuwa anataka kufanya kipindi juu ya Kenya SGR najinsi inavyo chochea uchumi wa Kenya. Alipouliza juu ya Kenya SGR aliambiwa iko mbali sana kutokea Nairobi and for security purpose hawezi fika. Mchina aligoma juu ya wazo la Richard kufanya kipindi kidogo juu ya SGR.
Chanzo cha habari pia kimenitaarifu waliamua kumpeleka kwa meter gage ya EAR iliwaweze kuficha haibu ya Kenyan SGR. Kwa sasa kipindi chake kita ongelea zaidi juu ya M-Pesa

My Take.: The government of Kenya is embarassed by the Kenyan SGR aka mtambo wa Changaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 910696View attachment 910697
Kesho Jumamosi ya mwisho wa mwezi. Kama kawaida atakuwepo CNN kuanzia saa 2:30. I like the guy
 
Nikikupa list ya watu mashuhuuri waliokuja TZ utakimbia humu ndani. Sema niifungulie thread๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Huku Kenya we don't keep track. The only way utaskia kwa vyombo vya habari mtu mashuhuri amefika, ni kama ako katika biashara au kazi yake. Lakini mambo ya utalii, hio ni private and confidential. Hatuna udaku huku.

Sasa, weka list ya hao wageni mashuhuri ambao wamekuja TZ kwa biashara au kazi zao.
 
Naona unatafuta pakutokea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚1. Bill Gates 2. Oprah 3. JayZ 4. Beyonce 5. Buffet 6. Hillary Cliton 7. Georg Bush the list is endless๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom