Habari zilizo nifikia na zahuwakika nikuwa Richard Quest alikuwa anataka kufanya kipindi juu ya Kenya SGR najinsi inavyo chochea uchumi wa Kenya. Alipouliza juu ya Kenya SGR aliambiwa iko mbali sana kutokea Nairobi and for security purpose hawezi fika. Mchina aligoma juu ya wazo la Richard kufanya kipindi kidogo juu ya SGR.
Chanzo cha habari pia kimenitaarifu waliamua kumpeleka kwa meter gage ya EAR iliwaweze kuficha haibu ya Kenyan SGR. Kwa sasa kipindi chake kita ongelea zaidi juu ya M-Pesa
My Take.: The government of Kenya is embarassed by the Kenyan SGR aka mtambo wa Changaa๐๐๐