Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
One Man down
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhHii dhambi imekuwa kubwa.
Mmoja alivizia simu ya mumewe hivyo hivyo akakutana na hizo meseji chonganishi, alipomuuliza mume akasema.. ni better umejua mwenyewe, nilikuwa nawaza nitaanza je kukuambia ...
What a shit life ?
KivipiEti 'wanaitana baby na mwanume mwenzak',tayari hapo wameshaanza kuchafuana...
Ata wewe unapendaWatanzania hizi habari ndo wanapenda kwa vile wengine wanapata mfadhaiko wa kimaisha.
Ni wasaniii wapo jiran tu hapo kwakoKwani hao watu wanaojadiliwa hapa ni kina nani huko Daslam?
Mmmh pole yake amepata mthiani wa maisha.Hii dhambi imekuwa kubwa.
Mmoja alivizia simu ya mumewe hivyo hivyo akakutana na hizo meseji chonganishi, alipomuuliza mume akasema.. ni better umejua mwenyewe, nilikuwa nawaza nitaanza je kukuambia ...
What a shit life ?
Ww je ungefanyajeHii dhambi imekuwa kubwa.
Mmoja alivizia simu ya mumewe hivyo hivyo akakutana na hizo meseji chonganishi, alipomuuliza mume akasema.. ni better umejua mwenyewe, nilikuwa nawaza nitaanza je kukuambia ...
What a shit life ?
🤣🤣🤣hiyo ndiyo shida yakoSitoboi 😂😂😂 si unajua sichelewi kupani
Nanyoosh mikono juu soon🤣🤣🤣hiyo ndiyo shida yako
Naunga mkono hojaKama aliyeweka uzi huu ni Mwanaume, kazi ipo kwa kweli,
Hii gender inazidi kupotea.
Lakini hao uliowataja ni mipunga Mzee wa kupambania 😀😀Kweli umejizima data 🤣🤣🤣
Mwanzo mgumu ila utatoboa kama Warumi au Cocastic
Daaah! 🤣🤣🤣 kwamba wamepoteza ubingwaLakini hao uliowataja ni mipunga Mzee wa kupambania 😀😀
Mbona iko wazi hiyo,coca na warumi(RIP) walewale tu😀Daaah! 🤣🤣🤣 kwamba wamepoteza ubingwa
Sio Yanga kushinda?Ninachojua Azam kafungwa.
Yaan mumewe ni mchicha mwibaHii dhambi imekuwa kubwa.
Mmoja alivizia simu ya mumewe hivyo hivyo akakutana na hizo meseji chonganishi, alipomuuliza mume akasema.. ni better umejua mwenyewe, nilikuwa nawaza nitaanza je kukuambia ...
What a shit life ?
Ni get ready on the sport... go.Ww je ungefanyaje