Noah Scribe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2024
- 578
- 1,436
Richmitindo sio classmate wako πYametimia....
Wolper hamna kitu tena...ni kama mwadui now days yamebaki mapango!!Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah
Wolpwr hamna kitu tena...ni kama mwadui now days yamebaki mapango!!
Mwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana.
Haya Numbisa kiko wapi?
Mambo yashaharibika huko.
Sio kila kitu ni wivu mkuu. Kuna vitu ukisoma pattern tu mtu unaelewa nini kinaenda kutokea
Hongera kwa mtoa mada kwa kusoma pattern!
Kumbe issue ni rekodi sio kudumuBasi kwako rahaaaa. Punguza roho ya kichawi mkuu. Wolper tayari ana rekodi ya kuolewa na watoto wazuri wamepata
Divorce lawyers wanaenda kupiga helaTukiwaambia wahudhuriw vikao hawasikii. Sasa moto umeanza