Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa )
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.
Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.
Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.
"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa
Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .
Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .
Kwa kuwa kuwa hofu kuwa majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata )
Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.
My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!
USSR