Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ni scandal mbaya sana...kwa kiongozi wa serikali inayojiita ni ya wa wanyonge.Hapa ndipo tunataka kuona accountability Sasa.
Labda yauzew kwa bei ya ubuyu nani atanunua hilo VX let say milioni 300 ambapo hiyo ni bei baada ya kutoa uchakavu? maana atakayenunua maana yake kaitangazia TRA kuwa ana pesa sasa we unafikiri nani anataka kujianika kwa TRA hii iliyopewa target ya 2 Trilioni kwa mwezi?Mkuu unaonaje kama atawatimua wote waliopitisha hili na waliomba hili na yale magari yauzwe tununue madawati ya form one ili ajisafishe badala ya kusubiria tume ya uchunguzi inayopoteza muda bure na magari yanazidi kuchakaa (depreciation )
Kama ni kiongozi anayependa kuwajibika si ajiuzulu kuonesha kuwa kateleza na kwa hiyo kawajibika? maana after all ataendelea pata mafao yake mpaka anakufa, lakini kingine ataingia kwa historia ya kuheshimika kuwa aliwajibika, kuliko adelay halafu jiwe aje amle kichwa, maana kumbuka jiwe hana undugu sana na wateule wake na siasa za kiafrika ni siasa za kutafuta mtaji wa wananchi hata ikiwa kwa mbinu chafu so jiwe akiona atapata political mileage sekunde tu anamla kichwa anateua mwingine.Sure ni kweli kuwa jamaa hana mauchafu kama wengine sema achukue hatua mapema asiundiwe zengwe mapema
Watu hawajui awamu hii hakuna mwenye uwezo wa kutoa maamuzi yeyote Yale hasahasa yanayohusu manunuzi makubwa zaidi ya Zanzimana mwenyewe be aware of the scape goat .... jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii ...
Huko ndiyo kukosa ufanisi Kama ndiyo hivi hata mikataba mingi yakutuumiza wanaingia hovyohovyo tuDED anahujumu uchumi utaombaje kitu ambacho unajua ni haramu kwako ? VXR unajua sio hadhi yako kuwa nayo ww ukaomba hili ni kosa, alie idhinisha unaweza kuta alipewa Document ambazo ziko general na vitu vingi akapitisha kumbe kuna mzoga ndani yake
Mnatekeleza kwa vitendo? Mitano tenaaaa. Hahaha mchakato wa manunuzi ya umma unafahamika kama ulifuatwa halafu mtu anahoji matokeo anayehoji matokeo yake ndiyo mwenye Shida. Nchi hii watu hawataki mchakato/ process wanataka matokeo.Pale ofisi ya pm kuna shida sana na yule DED namuona chenga sana sisi hatuhitaji kujua mambo ya PPRA tunahijo kiwango cha pesa hivi anafikiri shida ni magari tu
ushauri mzuri ni KUYACHUKUA ma V8 hayo mapya wapewe mawaziri wanazunguka nchi nzima mkurugenzi apewe prado OVABalozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa )
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.
Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.
Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.
"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa
Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .
Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .
Kwa kuwa kuwa hofu kuwa majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata )
Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.
My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!
USSR
Mbowe chama kimetoka wabunge 100 mpaka mbunge 1 na bado hajajihuzuru, alafu unakuja kutoka povu hapa kumtaka majaliwa ajihuzuru??Kama ni kiongozi anayependa kuwajibika si ajiuzulu kuonesha kuwa kateleza na kwa hiyo kawajibika? maana after all ataendelea pata mafao yake mpaka anakufa, lakini kingine ataingia kwa historia ya kuheshimika kuwa aliwajibika, kuliko adelay halafu jiwe aje amle kichwa, maana kumbuka jiwe hana undugu sana na wateule wake na siasa za kiafrika ni siasa za kutafuta mtaji wa wananchi hata ikiwa kwa mbinu chafu so jiwe akiona atapata political mileage sekunde tu anamla kichwa anateua mwingine.
watanzania tuna mambo ya ajabu sana!! yaaani vichwa vyetu vimejaaaa Majungu na Fitina tu!! hakuna kingine kazi kufitiniana na kupigana majungu!! kulikoni hiii tabia kushamiri kila mahala?! tatizo ni elimu ndogo au?Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa )
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.
Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.
Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.
"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa
Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .
Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .
Kwa kuwa kuwa hofu kuwa majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata )
Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.
My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!
USSR
Kama tukiita koleo koleo hachomoki.Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa )
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.
Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.
Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.
"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa
Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .
Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .
Kwa kuwa kuwa hofu kuwa majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata )
Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.
My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!
USSR
Ila kwasababu Baraza la sasa hivi ni Baraza la marafiki na wataarishwao kwa nyazifa kubwa zaidi, usishangae kuona hili linapita hivi hivi na yule DED aliyetolewa kafara ndio akasahaulika.Ni kweli ni scandal mbaya sana...kwa kiongozi wa serikali inayojiita ni ya wa wanyonge.
Hapo ndo huwa nashindwa kuwaelewa, unaposema ofisi ya PM unataka kumtoa PM kwenye sakata au? Sema wazi kama ulivyoanza PM ni tatizo na kiujumla serikali hii itaongoza kwa ufisadi kuliko serikali zote ziliOpita.Pale ofisi ya pm kuna shida sana na yule DED namuona chenga sana sisi hatuhitaji kujua mambo ya PPRA tunahijo kiwango cha pesa hivi anafikiri shida ni magari tu
Utapata wapi mteja wa 400m wa ghafla. Gari ikitoka kiwandani tu inaanza kupata depreciation effect na bei yake inashuka kuanzia hapo. Halafu kuwaondoa wasaidizi waluosaini siyo kuwajibika, mbona wengine wanawajibika kwa makosa ya wadogo? Yeye ni nani asiwajibike?Mkuu unaonaje kama atawatimua wote waliopitisha hili na waliomba hili na yale magari yauzwe tununue madawati ya form one ili ajisafishe badala ya kusubiria tume ya uchunguzi inayopoteza muda bure na magari yanazidi kuchakaa (depreciation )
Hawa fisi wamekula mbuzi wameisha sasa wameanza kulana wao kwa wao, koo tuwangalie maana alisema 2B kwa mweziHuko ndiyo kukosa ufanisi Kama ndiyo hivi hata mikataba mingi yakutuumiza wanaingia hovyohovyo tu