Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa )

Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.

Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.

Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.

"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa

Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .

Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .

Kwa kuwa kuwa hofu kuwa majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata )

Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.

My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!

USSR

Tangia 2016 wizara ya Tamisemi ilihamishwa kutoka ofisi ya waziri Mkuu na kupelekwa Ofisi ya Rais
Waziri Mkuu alibaki na Uratibu,bunge na sera pamoja na uwekezaji ambao nao umehamishiwa Ofisi ya Rais
Hayo matumizi ya V8-X kwa wakurugenzi sidhani kama PM anahusika
Ndo mana wakati wa uapishwaji mawaziri, Mh. Rais alimdirect Waziri Jaffo na sio PM.
 
Jambo hili linafikirisha sana,binafsi linamuweka njia panda hon Majaliwa,ni kweli isiyo shaka kuwa majaliwa ndiye anayeoneka kufaa zaidi kumrithi JPM, hii ni kutokana na uchapa kazi alionao hon.Majaliwa

Hoja iko hapa je mwanafunzi aliyeomba ruhusa isiyo halali na baadae mwalimu kumruhusu aende huku huyu mwalimu akijua kuwa ruhusa aliyotoa siyo halali ,je, mwenye makosa ni mwalimu au mwanafunzi?

Mungu amnusuru PM na hili janga
Mfano hauendani, labda ungesema mwalimu X anaomba ED, second Master akamruhusu halafu huyo mwalimu X katumia hiyo ED kupiga mishe zake. Huwezi kusema kwamba second master ndo anamakosa. Mwenye makosa ni huyo aliyeomba
 
Kiuhalisia Mheshimiwa waziri mkuu amelamba mchanga, nilimuona juzi Kati katika vyombo vya habari akiwa Mwanza akijaribu kuukwepa huu msalaba huku akionekana mwenye wasi wasi Sana.

Haya yanafanyika kwa kuidhinishwa na ofisi yake, je, anapataje uhalali wa kulalamikia haya manunuzi ya Hilo Shangingi la kijapani? 400 Milioni taslimu za kitanzania zinaweza kusaidia vijiji zaidi ya nane kuchimba visima vya maji.

Kuna shida sehemu, he can't avoid this allegation against his office.
unauhakika?
 
Kiuhalisia hii ni aibu ka chama, na mtu wa kwanza kulaumiwa ni Msukuma amei expose serikali bila kujua kina mikono ya mabosi wake ipo ndani yake, alipaswa aongee na DeD KIKAO CHA NDANI, Matokeo yake amekwenda kuropoka mitandaoni amemtia waziri mkuu matatizoni na sijui atajisafisha vipi, mambo kama haya ni mengi mno yanatokea na ya kutisha zaidi sema watu hawasemi hazarani kwasababu itawaletea matatizo makubwa, mimi najua mbili tatu ambazo zikitangazwa au zikijulikana hata mkuu credibility yake itashuka
Kweli sana,uchaguzi mkuu 2020 ni siri kubwa kila mtu yupo kimya!
 
Hivi PM naye kwa nini asiwe ngangari kwamba huo ni utaratibu wa Serikali kuwa na magari mazuri? Naye amejichanganya tu kwa nini hakukomaa tangu mwanzo kwamba hakuna wa kumwajibisha mtu maana ni sera ya serikali kuu.
Na ndio imezoeleka Serikali kuwa na magari mazuri,kuanzia ngazi za juu kila mtu anatumia gari jipya na zuri.
 
Labda yauzew kwa bei ya ubuyu nani atanunua hilo VX let say milioni 300 ambapo hiyo ni bei baada ya kutoa uchakavu? maana atakayenunua maana yake kaitangazia TRA kuwa ana pesa sasa we unafikiri nani anataka kujianika kwa TRA hii iliyopewa target ya 2 Trilioni kwa mwezi?
Kumbe tra wanafanya kwa hisia tu
 
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowasa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrith kikwete (alipaniwa ).

Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrith magufuli kwa uwezo,utendaji,dini,ukanda, na umri kasimu majaliwa anazunguka zongo linalimuandama la magari ya kufru yaliyopitishwa chini ya ofisi zake ,yalipitishwaje na mtu anayeonekana yupo makini sana walioko chini yake wanamnyoshea kidole.

Akihojiwa na tume ya Dkt Mwakyembe na baadae bungeni aliyekuwa naibu waziri wa nishati na madini wa wakati huo Ibrahim Musabaa anasema "naona mimi nitakuwa mbuzi wa kafara kwa hili " maDED wate wanasema ihojiwe ofisi ya waziri mkuu wao wasiwe mbuzi wa kafara.

Kama umemsiliza waziri mkuu kule mwanza anaona kuwa wenye makosa ni walioitisha ombi la ununuzi wa magari hivyo wawajibike baada ya uchunguzi walioagiza wanasema shida sio wao kuaomba maana ombi lina kukubaliwa na kukataliwa hivyo aliyelipokea na kuidhisha ndie mchawi hapa na huyi si mwingine ni ofisi ya waziri mkuu.

"Tulifuata utaratibu wa ununuzi wa umma kaunzia kwenye kamati ya halimashauri,baraza la madiwani wizara ya ujenzi na baadae ofisi ya waziri mkuu" DED wa Geita ahaongea kwa kujiamini kuwa kwa nini walipewa na aliyetoa anasema kwanini waliomba .kuna utata hapa

Watanzania hawataki kujua mambo ya nani aliomba na nani alitoa wanataka kufahamu kwanini pesa zao million 400 zote zinunue gari la mtu mmoja tu huku wakiwa na matatizo chungu mzima .

Rais anaonekana yuko wa wanachi wanaolia pesa zao kufujwa na kutaka walihusika wawajibishwe ,walihusika wanarushiana mpira .

Kwa kuwa kuwa hofu kuwa Majaliwa anaandaliwa hakuna anayeweza kumhoji na badala yake yeye ndio anahoji (hapa kuna utata ).

Maandui wa majaliwa kisiasa wanaojipanga kuelekea 2025 wanakesha wanachochea kuni ili kitumbua kiiingie mchaga.

My take .ule msemo wa kuwa waziri mkuu wa Tanzania hawezi kuwa rais unaweza ukajitokeza hapa tena!

USSR
Maombi yalipitishwa kama rushwa kwa sababu ya kukabiliwa na uchaguzi.
Baada ya uchaguzi aliyepitisha haoni tena ule umuhimu wa kupitisha uliokuwepo kwa wakati ule.
 
Namuona Sasa Hivi Sungura Akimfukuza Simba, Tembo, Chui, Kiboko Na Wengine Kwa Kasi Kubwa Sana!!
Muungwana Akivuliwa Nguo Huchutama,
😶😑😐🤨🤔😎😙😗😗😏😏🙄😶
 
Maombi yalipitishwa kama rushwa kwa sababu ya kukabiliwa na uchaguzi.
Baada ya uchaguzi aliyepitisha haoni tena ule umuhimu wa kupitisha uliokuwepo kwa wakati ule.
Waziri mkuu hakuhusishwa kwa hili alikuwa kwenye kampein
 
Moja kati ya mjadala bora sana hapa jukwaani.

Katika suala hili la magari haya ya vigogo huenda likawa doa kwa mh majaliwa.Ile sifa yake ya utendaji na uchapa kazi huenda ikaharibiwa na skendo ndogo tu hii kama asipokuwa makini.

Mtu pekee anayeweza kumuokoa mh majaliwa ni mh jiwe. Kama kweli majaliwa ana nia ya dhati kuongoza taifa hili,naomba ajinyenyekeze kwa jiwe kutoka katika hili.

Nasema jiwe kwa sababu,ukubali au ukatae magufuli ndio mtu pekee mwenye ushawishi wa namna yoyote kwa sasa hapa Bongo.
Lakini pia skendo hii hii inaweza kumtemesha kibarua mh majaliwa."waziri mkuu hana guarantee "_jiwe siku ya kumuapisha majaliwa.
Yote kwa yote tusubiri mda utaongea.

#jr
#uvccm taifa
Nimecheka kwa nguvu, eti jiwe ndio ana ushawishi. Mtu mwenye ushawishi hawezi kunajisi box la kura.
 
Ila kwasababu Baraza la sasa hivi ni Baraza la marafiki na wataarishwao kwa nyazifa kubwa zaidi, usishangae kuona hili linapita hivi hivi na yule DED aliyetolewa kafara ndio akasahaulika.
Kabisa yaani.
 
Hapa si swala la kufanyiwa zengwe. Ofisi ya Waziri Mkuu haiko makini katika utendaji kazi wake.
Swali dogo: una mke na familia ukatoa pesa ya matumizi na kutoa maelekezo kipi kinunuliwe katika hayo matumizi. Baada ya muda familia inakuomba kufanya manunuzi ya vitu ambavyo havimo kwenye maelekezo yako, fimilia ikanunua, unawezaje kuilamu familia kwa matumizi mabaya ya pesa. Waziri Mkuu anatakiwa ajiuzuru tu ameahindwa kusimamia ofisi yake. Lakini kingine cha kushangaza hiyo sheria kwa nini wakurugenzi wa halimashauri walio chini ya Tamisemi wakaombe kibali ofisi ya Waziri Mkuu badala ya wizara husika?
Mfano wako sijui kama ni relevant, kwa mujibu wa mkurugenzi wa Geita hizo pesa ni makusanyo yao ya ndani. Sio kwamba wamepewana baba wa familia, swala linabaki palepale hata kama ni makusanyo ya ndani ndio wazipangie matumizi makubwa kiasi hicho, bila kuangalia wapi kuna mahitaji zaidi?
 
Kiuhalisia Mheshimiwa waziri mkuu amelamba mchanga, nilimuona juzi Kati katika vyombo vya habari akiwa Mwanza akijaribu kuukwepa huu msalaba huku akionekana mwenye wasi wasi Sana.

Haya yanafanyika kwa kuidhinishwa na ofisi yake, je, anapataje uhalali wa kulalamikia haya manunuzi ya Hilo Shangingi la kijapani? 400 Milioni taslimu za kitanzania zinaweza kusaidia vijiji zaidi ya nane kuchimba visima vya maji.

Kuna shida sehemu, he can't avoid this allegation against his office.
Ajihuzulu kwa manufaa ya UMMA.OVA.
 
Hii ngoma sio sindimba wala mdundiko kuicheza lazima uicheze kisebene ingawa sio kaswida. Hii ngoma inaitwa "bughoboghobo" wale wa kule mtakuwa mmenifahamu. Come 2025
Aiseeeh imenifurahisha na umenikumbusha mbali sana kijana, "bughoboghobo" 😂
 
Wana JF niwaambie tu kama mnadhani na PM anadhani aliowataja ndo hao tu anakosea.... Kuna wimbi liliibuka la wakurugenzi kutambishiana haya madude kwahiyo kuna magari mengi ya aina hii yameshaagizwa na mengine yapo njiani yanakuja PM CHUKUA HATUA ZA HARAKA KWA HILI..

MIMI NIMESEMA NA MIMI NIMEMALIZA
 
Back
Top Bottom