Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

Waziri mkuu huyu hana utendaji mzuri... Huyu aliwahi kutimuliwa unaibu Waziri kwa kuwa n mzigo
 
Mm mwenyewe nilijiuliza inakuwaje mkurugenzi anasema alipewa baraka zote na ofisi ya wazir mkuu alafu Leo hii huyo wazir mkuu anakuja kukataa, sasa tumwamini nani
 
Kama sera inaruhusu wamuache tu. Nashangaa DED,DC,RC,RAS wanakuwa na magari ya kifahari..

Ndio njia tuliyoichagua acha tupambane nayo.
 
Mchaga tena? Ukabila hatutaki, mtatuharibia nchi.
 
Nawashangaa wanaomuona PM Majaliwa Kassim kuwa ni mchapakazi. Majaliwa ni zao la viongozi madikteta wasiopenda kukosolewa au kushauriwa. Madikteta hawa hachaguwa watu wepesi na wasio na uwezo wa kuchambua mambo ili kutekeleza maamuzi yao kwa watawaliwa.

Majaliwa ni kama DODOKI, mwenye nalo akililoweka linanyonya maji, akilikamua linatowa maji. Hana mawazo wala maamuzi yake. Mifano 4 hii hapa;
1. Suala la FARU JOHN alidanganywa na yule Naibu Waziri na Mbunge wa Loliondo naye akalipuka
2. Alimuwashia moto Asia Abdallah yule DC wa Kilolo tukajuwa atatumbuliwa, hakuna kilichotokea hadi leo
3. Alileta wananunuzi wa korosho na JPM akamtupilia nao mbali
4. Daraja la barabara ya Dodoma- Moro lilipobomilewa aliamuru yule Mhandisi atolewe Morogoro. Hakutolewa
 
Naomba mkuu unapokosoa jihadhari sana na personal attack!! Naamini kabisa huna uhakika na uyasemayo kuhusu MSUKUMA!!


Unataka watu waruke mjadala uliopo waanze kujadili umbea wako!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukawa sahihi kwahili!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
adui namba moja wa nchi hii ni ccm
 
Na huo mpira wanarushhiana tu nasubiri nione nani atafunga hili bao, wachezajia au kocha mwenyew ndo atakuja afunge.
 
Naomba mkuu unapokosoa jihadhari sana na personal attack!! Naamini kabisa huna uhakika na uyasemayo kuhusu MSUKUMA!!


Unataka watu waruke mjadala uliopo waanze kujadili umbea wako!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mimi nina uhakika na nilichoandika kuwa ni kweli na watu wanaomfahamu Msukuma wanajua ni hivyo!! Personal attack kuwa anakopa fedha benki kiujanjaujanja halafu anaruka kimanga halipi au kuwa anavuta ganja? Benki kalibuni zote Mwanza zimelizwa na Msukuma na anatumia ubunge wake kama Kinga!!!! Hakuna umbea hapo kama unabisha nenda High Court Mwanza uone makesi yanayomuandama!!!

Wewe kama ni mtetezi wa Msukuma; tuliza boli kwani kwa utaratibu wa Bunge bila shaka taarifa zake za kuwa na matatizo na mabenki lazima watakuwa wamefikishiwa, lakini Ndugai hawezi faya lolote kwa kumuogopa mtu wa Jiwe!!
 
Aliyeomba na aliyeidhinisha wote wanamakosa,

Unafikiri nini kununua gari ya 460 milion tena la mtu mmoja tu,

Huo ni ubinafsi uliopitiliza.
 
Jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii.
Mijizi yote tu! ukianzia na lile likichwa box likipara lisiloweza kuongea sentensi ya lugha liliyotumia kusoma hadi degree tatu. Likiulizwa lilipataje PHD linaua watoto wa watu. Yote mijizi tu full stop!
 
Jengeni mifumo imara acheni kujenga personalities! Zile VX-R V8 T CCM 2020 zilizofunika nchi nzima kwa maelfu ziliidhinishwa na nani? Ni mali ya CCM? Zinafanya nini kwa sasa? Kama kuna kipindi ubadhirifu wa kutisha umewahi kufanyika nchi hii.
wakikujibu nitag
 
PM hawezi kukwaa kisiki - kama ni hivyo basi OR itawajibika sababu KM Utumishi, Waziri Mkuchika hawataweza kukwepa - baada ya uteuzi yapaswa wafanye Mafunzo ya ndani kwa wateuliwa ili kuwekana sawa - hayo hayakufanyika - KM Tamisemi na Waziri wake Jafo nao hawakuwajibika

Hili limepita
Tunaweza kuyauza nje wapo watu wanaweza kununua au kuuuzia asasi za kiraia ishu ya matunguli sio ishu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…