Richmond ya Korosho ishapigwa, gazeti la East Africa ladai kampuni ilinunua Korosho ni hewa, Bei kushuka Kuna wakubwa wanawala wakulima

Tutajuaje kama wewe mwananchi wa kawaida si mnufaika na ufisadi huu.
Na kama nia ni njema na miradi hii watanzania tunaifahamu tatizo nini kuhamisha fedha kwa siri siri. Wabunge zaidi 80%tena wabunge ndiooo.hakuna maelekezo wanayokataa.Mashaka yataendelea na wapo sahihi kutuhumu wizi.hii hela nyingi sana kwenda vote 20 tuambiwe kama mmetulipa sisi korosho pia nia njema yenye hasara kwa taifa maana kodi hakuna hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulienda shule hata levo ya shule ya msingi basi waliokusomesha wamekula hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si waseme tu wazi kuwa tumechukua kiasi hiki tumepeleka kwenye ujenzi wa reli tatizo liko wapi?
 
Pesa za mirado hiyo haziingii vote 20!Hizo ziko kwenye bajeti ya bunge,halafu most ya miradi hiyo ni mikopo!
Tusidanganyike na uzalendo,hesabu lazima ziwekwe sawa!
 
Wajinga ndio waliwao!
 
Hivi nyinyi kwa akili zenu mlidhani kuwa Jiwe yuko serious anapambana na ufisadi.

Kweli nyinyi wehu kwelikweli!

Jiwe huyuhuyu wa kivuko cha mwendo wa Kobe ndo awe Kinara wa kupiga vita ufisadi?

Jiwe huyuhuyu aliyegawa nyumba za serikali kwa ndugu na chuchuchu ndo akapambane na Ufisadi?

Kalagabaho!
 
"Official registration records also indicate that Indo Power has no bankers, no lawyers, no auditors, and no company secretary."

Yaani kampuni haina mwanasheria
Haina katibu muhtasi
Haina watu wanaohusika na benki
Haina wakaguzi

Halafu inapewa Dili la Dola milion 180!!

Hapa kuna dalili zote za UTAKATISHAJI WA FEDHA kupitia mgongo wa kununua korosho!

Ufisadi mtupu!
 
If JPM Wants to fight corruption first he must emancipate himself from that hyenas Party only then We Real observers of things can undestood whatever serious measures he claims to apply.This is because He Himself has been the part of the rotten system of that corrupt unity.For now with the worst CAG reports showing huge uneplainable expenditures it is clearly that matters are not running very well.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafungu mengine yalienda kununua wabunge na madiwani then kupelekea ujinga huu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sirikali makini.unanyang'anya kwa watz unawapa wakenya watajirike kirahisi.
 
Kwani akiweka wazi hiyo michakato si ndo angekuwa mzalendo halisi? Deni la taifa linaongezeka, fedha za taifa zinatumika bila usimamizi/ukaguzi, halafu watu wasiulize cha kwao? Kumbuka, nchi ni ya wananchi, na yeye amepewa dhamana badala ya wananchi. Kujua mustakabali wa nchi yao ni Haji yao ya msingi
 
Hata kama vinajengwa kwa damu za watu na dhuruma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika sana...ni aibu kuishi nchi moja na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa na michakato ya siri ukawa na nia njema, hiyo haipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kwa hiyo wewe unaona ni sawa to kufanya reallocation ya jinsi hiyo bila hata kushirikisha bunge au mkaguzi mkuu! Vote 20 ina bajeti yake na kama inagundulika kuwa haitoshi kuna kitu kinaitwa budget review in aweza fanyika. Vote 20, tusipokuwa makini itaendelea kuwa kichaka cha ufisadi uliopindukia! tafakari tena!
 
vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia


Kama ni vyetu kwanini tusifuate utaratibu tuliojiwekea na kukubaliana namna ya kuvipata badala ya wachache kujifungia kwa siri sirini katika kupanga matumizi yake?
 
Nimesikitika sana...ni aibu kuishi nchi moja na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia maneno makali sana japo ndo ukweli wenyewe. Kwa bahati mbaya watu ambao wanaosapoti ufisadi wa magogoni ni wengi mno; wanasema 'the end justifies the means'. Wiwanza vitabakia kuwa ndoto tu kwa ajili ya watu kama hawa.
 
Kwahiyo ni sawa kufanya mambo kinyume na Katiba na sheria? Kama hivyo futeni kodi zote ili kila mtu aishi kwa hela yake! Ukichukua kodi za wananchi lazima uwajibike kwao kwa mujibu wa Katiba na sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…