Tutajuaje kama wewe mwananchi wa kawaida si mnufaika na ufisadi huu.
Na kama nia ni njema na miradi hii watanzania tunaifahamu tatizo nini kuhamisha fedha kwa siri siri. Wabunge zaidi 80%tena wabunge ndiooo.hakuna maelekezo wanayokataa.Mashaka yataendelea na wapo sahihi kutuhumu wizi.hii hela nyingi sana kwenda vote 20 tuambiwe kama mmetulipa sisi korosho pia nia njema yenye hasara kwa taifa maana kodi hakuna hapo
Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati mwingine hatuhitaji kujua mchakato wa upataji fedha za kuendeshea miradi kwa sababu Magu anajenga taifa, hajinufaishi yeye mwenyewe. Ninachohisi ni kuwa fedha hizo zimeenda kwenye ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege pamoja na miradi inayoendelea. Mwisho wa siku tutaona reli, barabara, ndege na stiglar george dam vyote hivyo si vya Magu bali ni vya kwetu hata ww utazitumia. Ukiniuliza mm mwananchi wa kawaida jinsi gani mchakato wa kupata hela umepitia sihitaji hilo. Ila nyinyi ambao michakato inawafaidisha hamtaacha kuuliza hasa pale ambapo pesa haitapitia bungeni kuna watakaokosa posho na ndio watakaopiga kelele.
Kama Rais ni mzalendo anataka kujenga nchi atumie tu tuone matunda michakato baadae
Sent using Jamii Forums mobile app