Yule video queen,striper Lira Galore aliyedaiwa kutoka na Drake amevishwa pete ya uchumba na Rick Ross, the boss, jamaa '' kichungu ''cha striper kimemchanganya had kafika bei, ila yule demu kasimama hata mie ningefka bei kama angeingia kwenye kumi na name zangu striper ni katika kuhustle na life, yule demu ni mkali anastahili kuwekwa ndani na kuwa mke wa mtu