Rick Ross amvisha pete ya Uchumba Lira Galore

Rick Ross amvisha pete ya Uchumba Lira Galore

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Yule video queen,striper Lira Galore aliyedaiwa kutoka na Drake amevishwa pete ya uchumba na Rick Ross, the boss, jamaa '' kichungu ''cha striper kimemchanganya had kafika bei, ila yule demu kasimama hata mie ningefka bei kama angeingia kwenye kumi na name zangu striper ni katika kuhustle na life, yule demu ni mkali anastahili kuwekwa ndani na kuwa mke wa mtu
 
Ila drake yule jamaa hatar...juz juz kanpiga serena william na kashablock tayar
 
Jack Beur uko outdated Sana ,hiyo Habari ni ya mda watu washasahau
 
Ila yule demu kasimama hata mie ningefka bei kama angeingia kwenye kumi na name zangu striper ni katika kuhustle na life, yule demu ni mkali anastahili kuwekwa ndani na kuwa mke wa mtu
10544034_684674254935743_1574211193_n.jpg


:crazy::crazy:


 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Back
Top Bottom