Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila ukweli Rick Ross ana sauti amazing,sauti yake ni nzuri mno
Hata meno yake ni mazuri kinyama
Ukipakuwa hiyo album yake utaupata hata uzuri wa ndevu zake.
Joanah hata kama tumeachana lakini nimeona wivu.