Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila ukweli Rick Ross ana sauti amazing,sauti yake ni nzuri mno
Hata meno yake ni mazuri kinyama
Ndio inavyokuwaMadem huwa mna taste za ajabu sana aiseeee, kuna dem alinambia et natembea vzr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ukweli Rick Ross ana sauti amazing,sauti yake ni nzuri mno
Hata meno yake ni mazuri kinyama
Hatujaachana bhana...umeniacha
Ndio nilikuita hivyo kwasababu sababu ninayo
Tutajadili kuhusu kurudiana kama dada yangu Khantwe ataruhusu
Maajabu haya aiseee, dunia haiishi kunishangaza.Ndio inavyokuwa
Mie nilienae napenda anavyoniangalia
🤣🤣Achana na habari za kushirikisha ndugu kwenye mapenzi yetu
Maajabu haya aiseee, dunia haiishi kunishangaza.
So akija anaekuangalia vzr zaidi utatoka ama?
Yaan nimecheka San dea ujue, khaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Rozee hanashinda mwambie mobeso akuunge mjipange muwe mnashinda nae kusikiliza sautiIla ukweli Rick Ross ana sauti amazing,sauti yake ni nzuri mno
Hata meno yake ni mazuri kinyama
Ila ukweli Rick Ross ana sauti amazing,sauti yake ni nzuri mno
Hata meno yake ni mazuri kinyama
Tufafanulie vizuri,August Alsina alifanyaje na nani huyo?Yule mbuzi ni nyoko,kama unataka umpe collabe mpe chake kwanza halafu mwambie aimbe nini. Kama unabisha sikiliza lile dongo na August Alsina. Will Smith katoa machozi