BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.
Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.
Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?
================
Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.
The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. 🔥
Architecture Digest