Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.

Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.

Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.

Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?

================
Rick-Ross-Car-Collection-No-Drivers-License.jpg

Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.

The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. [emoji91]

Architecture Digest
Hiyo nyumba kwenye picha aliinunua kutoka Evander Holyfield mwaka 2014.
 
Amedata kweli na amecancel World tour yake,

Juzi kati akiwa na mkewe wanaenda kwenye mgahawa akawa anawafokea paparazzi kwa kuwapiga picha kama haitoshi akawaonesha middle finger 🥲

Ukiusikiliza wimbo wake Lonely utajua the boy amekua hayuko sawa siku nyingi
Embu nenda kausikilize tena alikuwa anazungumzia obstacle mwanzoni mwa career yake, effect ya money and fame KWENYE maisha yake amepata hivi vitu akiwa na umri mdogo ndio wimbo unachozungumzia na siyo vitu contemporary that was the past
 
kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.
Embu nitumie hii video mademu walikuwa wanasema apigi denda, ikisimama tu anataka achomeke sikuiona hii
 
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.

Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.

Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.

Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?

================
Rick-Ross-Car-Collection-No-Drivers-License.jpg

Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.

The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. 🔥

Architecture Digest
Tuache kwanza tule mtori nyama tutazikuta chini.
 
Embu nenda kausikilize tena alikuwa anazungumzia obstacle mwanzoni mwa career yake, effect ya money and fame KWENYE maisha yake amepata hivi vitu akiwa na umri mdogo ndio wimbo unachozungumzia na siyo vitu contemporary that was the past
Ulichokisema hapo "effect ya money and fame kwenye maisha yake, amepata hivi vitu akiwa na umri mdogo" ndio kilichopo hapo, labda wewe ndio uusikilize vizuri nakupa lyrics yake,

Lonely"

Everybody knows my name now
But something 'bout it still feels strange
Like lookin' in a mirror, tryna steady yourself
And seeing somebody else

And everything is not the same now
It feels like all our lives have changed
Maybe when I'm older, it'll all calm down
But it's killing me now

What if you had it all
But nobody to call?
Maybe then you'd know me
'Cause I've had everything
But no one's listening
And that's just fucking lonely

I'm so lo-o-o-onely
Lo-o-o-onely

Everybody knows my past now
Like my house was always made of glass
And maybe that's the price you pay
For the money and fame at an early age
And everybody saw me sick
And it felt like no one gave a shit
They criticized the things I did
As an idiot kid

What if you had it all
But nobody to call?
Maybe then you'd know me

'Cause I've had everything
But no one's listening
And that's just fucking lonely

I'm so lo-o-o-onely
Lo-o-o-onely
I'm so lo-o-o-onely
Lo-o-o-onely
 
Ana matatizo gani hajapona uso wake?watu wana maisha mazuri wana pesa na ni maarufu lakin eti bado wana shida tu kazi kweli
Halaf kwanin hawazai na mkewe?
Ugonjwa wa Uso alipona ila anaonekana yuko stressed sana hana furaha, wengine wanasema Ndoa yake haina furaha, wengine wanasema karudi kwenye madawa, ila pia social media inampa sana presha,

Ulisikia ile drama iliyotokea kati ya Selena, Kyle na Hailey huko tiktok? Sasa watu wameandamana huko tiktok na Insta wanataka wamrescue Bieber eti yule Hailey amemfunga na kumcontrol,

Wanamshinikiza am divorce arudi kwa Selena basi kumechafukwa ni vituko vitupu,

Nadhani Bieber ana tatizo la akili (may be Bipolar)ambalo limekua triggered na madawa kwa hiyo haja recover 100% na alivyooa alifanya maamuzi ya haraka sana ukizingatia fans walikasirika kumuoa yule dada na mpaka leo hawajamkubali basi ndio azidi kuchanganyikiwa.
 
Yeye kasema jamaa KWA sasa ayupo sawa hata kwenye wimbo wake wa lonely ndo nikamwambia huo wimbo anazungumzia career yake mwanzoni kabisa na hazungumzii maisha yake ya sasa
 
kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.
Aisee kumbe bora ata mie ni 2 minute man🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ana matatizo gani hajapona uso wake?watu wana maisha mazuri wana pesa na ni maarufu lakin eti bado wana shida tu kazi kweli
Halaf kwanin hawazai na mkewe?
Sio kila mtu anataka mtoto wewe. Wengine wanataka kuburudika na wife tuu bila kero za watoto
 
Ugonjwa wa Uso alipona ila anaonekana yuko stressed sana hana furaha, wengine wanasema Ndoa yake haina furaha, wengine wanasema karudi kwenye madawa, ila pia social media inampa sana presha,

Ulisikia ile drama iliyotokea kati ya Selena, Kyle na Hailey huko tiktok? Sasa watu wameandamana huko tiktok na Insta wanataka wamrescue Bieber eti yule Hailey amemfunga na kumcontrol,

Wanamshinikiza am divorce arudi kwa Selena basi kumechafukwa ni vituko vitupu,

Nadhani Bieber ana tatizo la akili (may be Bipolar)ambalo limekua triggered na madawa kwa hiyo haja recover 100% na alivyooa alifanya maamuzi ya haraka sana ukizingatia fans walikasirika kumuoa yule dada na mpaka leo hawajamkubali basi ndio azidi kuchanganyikiwa.

Hilo sakata sijui ilikuwaje kyle na selena na hailey?
 
Back
Top Bottom