Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

[emoji23][emoji23][emoji23] jana niliona video kuna yule actor wa marvel anaitwa Chris pratt alikuwa na mtangazaji wanazunguka kuwauliza watu wanamjua yeye nani watu hawamjui mara waseme chriss evans [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakuna alomjua nilicheka sana. Akazunguka na lupita pia mtu anaulizwa unamjua huyu hawamjui nilicheka sana
Mpaka unajiuliza watu wengine hawaangalii movie jamani
Huwa wanajisikia vibaya sana usipowajua wapo radhi wamwage mamilioni Ili tu kununua sifa.
Kama haupo kwenye industry hio huwezi kuwa na time nao
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jana niliona video kuna yule actor wa marvel anaitwa Chris pratt alikuwa na mtangazaji wanazunguka kuwauliza watu wanamjua yeye nani watu hawamjui mara waseme chriss evans [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakuna alomjua nilicheka sana. Akazunguka na lupita pia mtu anaulizwa unamjua huyu hawamjui nilicheka sana
Mpaka unajiuliza watu wengine hawaangalii movie jamani
Ile mitaa nahisi imekaa kishua Sana na wanaonekana wengi hawafatilii mziki. Dah!! Kitambo jamaa ckumbuki mwaka Ila nilikuwa iringa enzi hizo nahis ililushwa BET
 
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.

Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.

Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.

Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?

================
Rick-Ross-Car-Collection-No-Drivers-License.jpg

Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.

The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. [emoji91]

Architecture Digest
Vyumba 109
 
Back
Top Bottom