Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.

Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.

Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.

Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?

================
Rick-Ross-Car-Collection-No-Drivers-License.jpg

Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.

The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. [emoji91]

Architecture Digest
Unafanya videoshooting humo maana location kama zote
 
Kuna kipindi alienda sijui Malawi ile au Zambia vijijini huko akiwa kwenye gari akawa anagawa pesa kwa wanakijiji yaan hata hawamjui wengine walipokea ila Wanawake walikataa na Watoto wengine walikimbia mbio ndefu,

Kuna jamaa kinyozi aliweka picha yake kwenye salun yake alimtambua ila hakuamini kama ni yeye kweli akapewa vibunda vya kutosha
Nipe link nikajionee
 
Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7
Hizo ni Dollars au Tshs?

Km Tshs basi hana ukwasi kiviiile Billion 128.7 Tshs sio pesa Ndefu kiivyo yaan ni ya kubadirisha mboga tu kwa baadhi ya watu, ukisema Dollars Billion 128.7 hapo nmekubari jamaa ana mawe meusi ya kutosha
 
Weka na wewe Billions zako msipende kujifanya wajuaji, hiyo pesa kuwa ya kubadilisha mboga kwa baadhi ya watu haina maana kuwa ni ndogo, that's more than $55 Million huyo ni multimillionaire kwa standards za Marekani
Tshs Billion 128.7 hapa inajengwa shule au kivuko au hospitali kwa hio pesa na hatushangai tushazoea kusikia trillion 14 trillion 20 trillion 30 trillion 58 trillion 100 huko kwenye billion tushahama tunacheza na trillion billion sio pesa ya majivuno tena tuonyeshe trillion ilipo sio billion hujasikia Marope anataka apewe trillion 1 kwa hio akipewa 4 Rick Ross atakua mchumba tu kwa Marope maana atakua multibillionaire au, angesema dollars billion 128.7 ningenyoosha minoko juu sasa dollars million 55 tu watu mnapagawa?

Rick Ross kwa huyu mwamba mtanzania ni mchumba tu au sio?
Screenshot_20230309-052948.png
 
View attachment 2542501
Badala ya kuonesha pesa zako unaonesha za Wanaume wenzako, nyie ndio mpo radhi mfanywe lolote mbele ya pesa za wenyewe,

Kauze mihogo huko achana na Rich Forever.
 
Weka na wewe Billions zako msipende kujifanya wajuaji, hiyo pesa kuwa ya kubadilisha mboga kwa baadhi ya watu haina maana kuwa ni ndogo, that's more than $55 Million huyo ni multimillionaire kwa standards za Marekani
Utaviweza vibrazameni vya jf, vinapenda ujuaji huku mifuko imetoboka.
 
Badala ya kuonesha pesa zako unaonesha za Wanaume wenzako, nyie ndio mpo radhi mfanywe lolote mbele ya pesa za wenyewe,

Kauze mihogo huko achana na Rich Forever.
Km unatafuta mume kilazima sema nije nikupumulie kwa nyuma, maana hua mnaanzaga hivyo hivyo kujilengesha kwa wanaume km unawashwa ingia PM nielezee ulipo nikutimbie nikutie huo upweke, nimesema Tshs 128.7 billion sio pesa ya kujuvuna ntakupa dokezo tu wakina rugemalira waligawana billion 309 nini billion 128.7?, it's not about me it's all about that kinda money ni cheap money pesa ndogo tu Ila mnaikuuuuza as if yaan emu acha nifunge mdogo uje tena nikushushie nondo, alafu ongelea kuhusu Rick Ross sio unaniongelea mimi mada inamhusu Rick Ross Ila km unatafuta bwana wa kukugonga fresh nakuruhusu kunizungumzia ili niwe mtu pekee anaekugonga kila unapohitaji kugongwa

Elewa nnachozungumzia nazungumzia utofauti wa Tshs. na Dollars, Tshs Billion 128.7 sio sawa na Usd billion 128.7

Yaan hata JB ambae ameuza haki miliki ya nyimbo zake zote kwa Usd million 200 anamzidi utajiri RR
 
Kijana hapa tunaongelea hiyo pesa kuwa ya mtu mmoja ambaye kaitafuta kwa jasho lake hiyo ni nyingi sana, hatuongelei pesa za majizi ya serikalini na kama wewe na hao wenzio ni wanaume kweli fikisheni hiyo networth bila kuiba kodi za wananchi tuone, narudia hiyo pesa kwa vile eti kwa bill gates au jeff bezos unaona ni hela ya maji basi haimaanishi kuwa ni ndogo, maana still kuna billions of people hawana na hawatakuja kuwa nayo hadi wanaingia kaburini, na ukizingatia wasioweza kuifikisha ni wengi kuliko wanaoweza kuifikisha
😂😂😂 Sawa basi Mambo yasiwe mengi Ila Tshs haina nguvu kuliko Dollar, hicho ndio nilichomaanisha Ila haukuwahi kunielewa

Tshs. 128.7 billion sio sawa na Usd 128.7 billion, endelea kuchekecha ubongo
 
JF watu wengi ni wajuaji na wachambuzi wa mali za watu
Wewe unachambua mali zako hapo au Mali za Rick Ross? Acha kua bwakubawaku imetosha we mwenyewe kujitia ujuaji tu wakati huna unachokijua mimi nilisema Tshs. 128.7 billion haina nguvu km USD 128.7 billion mnaanza kuponda eti huna fyoko fyoko nyoko nyoko, ukweli ndio huo ikiuma chomoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa basi Mambo yasiwe mengi Ila Tshs haina nguvu kuliko Dollar, hicho ndio nilichomaanisha Ila haukuwahi kunielewa

Tshs. 128.7 billion sio sawa na Usd 128.7 billion, endelea kuchekecha ubongo
Sasa kwani nani kasema Tsh ina nguvu kuliko Usd mbona umehamisha mada, hoja ilikuwa wewe kusema hiyo pesa ni ndogo eti kwa sababu tu kuna watu wengine kwao ni pesa ya maji, hiyo Tshs 128B ni sawa na Usd 55M huyo ni multi millionaire na ana uwezo wa kuishi maisha tunayoyaita ya kifahari
 
Wewe unachambua mali zako hapo au Mali za Rick Ross? Acha kua bwakubawaku imetosha we mwenyewe kujitia ujuaji tu wakati huna unachokijua mimi nilisema Tshs. 128.7 billion haina nguvu km USD 128.7 billion mnaanza kuponda eti huna fyoko fyoko nyoko nyoko, ukweli ndio huo ikiuma chomoa
Kijana umeishiwa hoja umeanza matusi, sasa hayo ya kulinganisha Tsh 128B na Usd 128B yametoka wapi na ni nani aliyekuuliza, ulipojichanganya wewe ni kusema pesa alizonazo huyo mwamba ni ndogo wala usibadili gia angani hapa
 
Ross hawez milik vi tsh bilion 128 ,utakuwa umekosea ww
 
Back
Top Bottom